Mwenzenu nina hasira kila kitu nakiona kibaya..

flady1

it is not worthy it kuumia wakati aliyekuumiza either anakoroma au anagida bia yake... find something cheerful, think positive, kumbuka waliokufurahisha na wewe kufurahisha

weka yourself juu, japo kwa sekunde, dharau ujinga lala

kesho hasira zikiisha hoji upya
 
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..

Pole sana FL1, najua unaumia sana kama unataka kulia ni bora ulie tu lakini si kwa sauti maana kufanya hivyo utajiumiza zaidi. Kulia kwa binadamu pale kuna jambo ambalo limekuwa tofauti na matarajio yako si jambo la ajabu hata kidogo. Mie nakuombea Mungu ili urudie katika hali yako ya kawaida. Pia usisahau kusali sana hili litakusaidia kukupunguzia majonzi yako. Pole sana FL1
 
dalili ya mimba hiyo dadangu, kapime mwee!

hahahahah haya ngoja nikatafute PT ..mungu ni mwema hali niliyokuwa nayo yest na leo kiasi naendelea vyema..
Maana jana mpaka nilihisi napata vidonda vya tumbo kwa sec....
 
flady1

it is not worthy it kuumia wakati aliyekuumiza either anakoroma au anagida bia yake... find something cheerful, think positive, kumbuka waliokufurahisha na wewe kufurahisha

weka yourself juu, japo kwa sekunde, dharau ujinga lala

kesho hasira zikiisha hoji upya

MTN asante sana kwa ushauri wenye hekima barikiwa..leo kiasi najisikia vyema ...Wewe umeshawahi kuuziwa sana na ukasahau mapema?
 
Hizo kero za ofisini unaenda nazo nyumbani kufanya nini? Utakufa bure kwa presha. Anza utaratibu wa kuyaacha mambo ya ofisini hukohuko na unapofika nyumbani endelea na mambo ya nyumbani. Lazima ujue kuwa kama una mwenza na watoto unawaathiri pia kwa moods unazotoka nazo ofisini. Mimi piga ua hata mtu anitishie kunifukuza kazi kesho yake lazima nilale sio chini ya masaa sita.
 
Pole sana FL1, najua unaumia sana kama unataka kulia ni bora ulie tu lakini si kwa sauti maana kufanya hivyo utajiumiza zaidi. Kulia kwa binadamu pale kuna jambo ambalo limekuwa tofauti na matarajio yako si jambo la ajabu hata kidogo. Mie nakuombea Mungu ili urudie katika hali yako ya kawaida. Pia usisahau kusali sana hili litakusaidia kukupunguzia majonzi yako. Pole sana FL1

asante sana BAK angalau leo najisikia niko poa kiasi...ila....
 
Hizo kero za ofisini unaenda nazo nyumbani kufanya nini? Utakufa bure kwa presha. Anza utaratibu wa kuyaacha mambo ya ofisini hukohuko na unapofika nyumbani endelea na mambo ya nyumbani. Lazima ujue kuwa kama una mwenza na watoto unawaathiri pia kwa moods unazotoka nazo ofisini. Mimi piga ua hata mtu anitishie kunifukuza kazi kesho yake lazima nilale sio chini ya masaa sita.

Tata ni bora hata kero za ofisini huwa na ignore hizi sio za ofisi ndugu yangu...
Nashukuru kwa advice yako mheshimiwa....
 
A basketball in my hands is worth about $19.
A basketball in Michael Jordan's
hands is worth about $33 million.
It depends whose hands it's in.

A baseball in my hands is worth about $6.
A baseball in Mark McGwire's hands is worth about $19 million.
It depends whose hands it's in.

A tennis racket is useless in my hands.
A tennis racket in Venue Williams'
hands is a Championship Winning.
It depends whose hands it's in.

A rod in my hands will keep away a wild animal.
A rod in Moses' hands will part the mighty sea.
It depends whose hands it's in.

A sling shot in my hands is a kid's toy.
A sling shot in David's hand is a mighty weapon.
It depends whose hands it's in.

Two fish and 5 loaves of bread in my
hands is a co! uple of fish sandwiches.
Two fish and 5 loaves of bread in
God's hands will feed thousands.
It depends whose hands it's in.

Nails in my hands might produce a birdhouse.
Nails in Jesus Christ's hands will
produce salvation for the entire world.
It depends whose hands it's in.

As you see now it depends whose hands it's in.
So put your concerns, your worries, your fears,
your hopes, your dreams, your families and your
relationship in God's hands because...

It depends whose hands it's in.
 
When things go wrong, as they sometimes will,
when the road you're retrudging seems all up hill,
when the funds are low and the debts are high,
and you want to smile, but you have to sigh,
when care is pressing you down a bit,
rest, if you must-but don't you quit.

Life is queer with its twists and turns,
as every one of us sometimes learns,
and many a failure turns abut,
when we might have won had we stuck it out,
don't give up, though the pace seems slow-
you might succeed with another blow.

Often the goal is nearer than
it seems to a faint faltering man,
often the struggler has given up
when he might have captured the victor's cup,
and he learned too late, when the night slipped down,
how close he was to the golden crown.

Succeed is failure turned inside out-
the silver tint of the clouds of doubt-
and you never can tell how close you are,
it may be near when it seems afar;
so stick to the fight when you're hardest hit-
it's when things seem worst that you 't quit.​
 
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..

Pole eenh mpenzi, njoo hapa nyumbani nikuombee!
:poa
 
Pole eenh mpenzi, njoo hapa nyumbani nikuombee!
:poa

hahaha Asante hebu omba kwa kutaja jina la Firslady nadhani nitapata uponyaji..nyumbani kwako sikujui...
[SUP]14[/SUP]Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na utaka tifu, ambao bila kuwa nao, hakuna mtu atakayemwona Bwana."
 
Alikuja mtoa mada hapa jamvini akadai mwanamme ukiwa na hali hiyo basi ndo unakuwa kwenye siku zako! sijui na wewe labda uko na hali hiyo
 
Muziki ni dawa nzuri sana ya majonzi.........

Michael Bolton's ''Lean on me''

Sometimes in our lives, we all have pain
We all have sorrow
But, if we are wise
We know that there’s always tomorrow
Chorus
Lean on me, when you’re not strong
And I’ll be your friend I’ll help you carry on
For it won’t be long, till I’m gonna need
Someone to lean on
You can call on me brother when you need a hand
We all need somebody to lean on
I just might have a problem, that you’ll understand
We all need somebody to lean on
Please swallow your pride, if I have things
You need to borrow
For no one can fill, those of your needs
That you won’t let show
Chorus
If there is a load, you have to bear
That you can’t carry
I’m right up the road, I’ll share your load
If you just call me...call me
If you need a friend....call me
If you need a friend....if you ever need a friend
Call me....call me....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom