Mwenzenu nina hasira kila kitu nakiona kibaya..

Mbona humu JF kuna burudani ya kutosha! Mwenzio nikiona siku haiendi vema, natafuta sredi inayochangiwa na watu waliopinda. Baada ya muda stress zoooote kwao. Pole mwaya, utarudi normal.

Kweli tupu, hata mimi siku nikiwa na stress JF iko wapi natafuta thread ya vichaa wa humu ndani, nacheka weee nasahau kial kitu. Pole FL, hali hiyo itaisha tu, muombe Mungu
 
FL, saa hizi ni saa nane nadhani uko poa now, au bado una hasira.....


Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
 
Nimemaanisha kuwa alikuwa na hasira tangu usiku, asubuhi akalileta hapa, sasa tangu asbh alipolileta hapa na baada ya kushauriwa hadi hiyo saa nane bado ana hasira au zimeisha

hehehe, hivi saa nane hautakiwi kuwa na hasira?
ram bana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom