Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Habari zingine bwana!
chitambikwa, tuseme ni kweli Jaji Damian Lubuva ni kaka yake mke wa Lowassa, sasa ndio unamaani hiyo ndiyo sifa iliyomfanya achaguliwe kuwa mwenyekiti wa NEC?.
Jee kama uteuzi wa jaji Lubuva umezingatia sifa na vigezo, sasa ndio asiteuliwe eti kwa vile dada yake kaolewa na Lowassa?,
Ndugu yangu chitambikwa, nenda tuu kajipumsikie baada ya kutoka kwenye hayo matambikwa!.
Pasco,tukubaliane kama ni kweli huyu ni Shemeji wa Lowasa lipo tatizo tena zito sana! Hali ya nchi kwasasa tulipofikia si ya kuaminia kabisa,hata mkuu wa nchi alishawahi kukiri hilo na ndio maana hata yeye alitumia familia yake kusimamia kampeni! Anajua hatuaminiani tena kuliko wakati wowote ktk nchi hii na mbaya zaidi anajua nchi inavyowaka moto kwa sababu ya jina la lowasa! Alafu unamteua shemeji yake NEC! Tuna spin nini hapa? Ni bora tupinge si kweli lakini ukishasema hata kama ni kweli eti kwa kuwa anayosifa tutakuelewa kweli? Mnapokuwa na upande jamani jitahidini kucheza kisanyansi japo kidogo bora hata kukaa kimya kulinda Status yako! Tuna akili timamu! shemeji ya Lowasa! Alafu mnachukulia mzaha! Tuache kusimamia tu hoja hata penye ukweli! Kama habari hii ni kweli THIS IS TOTALLY COMPLETELY WRONG!!!!!!
Nikiwa natoka sherehe za Noel Bethlehemu nimekutana na jaji mmoja maarufu nchini katika ndenge tuliyosafiri pamoja kurudi nyumbani , katika mazungumzo yake ameniambia amekerwa sana na uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa NEC bwana LUBUVA kuwa ni mkakati wa Kikwete kumuandalia fisadi mwenzake katika chama chochote atakachokwenda kushinda uraisi. Mambo ambayo ameyafanya ni kumchagua Lubuva AMBAYE NI KAKA WA MKE WA LOWASA kufanikisha hilo.
Lingine aliloniambia ni kuwa kulikuwa na mkakati wa kumchoma sindano ya Mionzi Dr.Slaa wakati alipoenda kutibiwa mkono muhimbili, na kuwanyamazisha wote wanaompinga.
Zaidi akaniambia kuwa mahakama hapa TZ inaogozwa na CCM na si serikali na wala haiwezi kuwa huru kwenye kesi yenye maslahi na CCM
Binafsi nimesikitika sana ,WADAU kama kuna mtu ana habari zaidi juu ya hii mada atujuze ili tuitazame nchi yetu itakuwaje huko mbeleni
chitambikwa, tuseme ni kweli Jaji Damian Lubuva ni kaka yake mke wa Lowassa, sasa ndio unamaani hiyo ndiyo sifa iliyomfanya achaguliwe kuwa mwenyekiti wa NEC?.
Jee kama uteuzi wa jaji Lubuva umezingatia sifa na vigezo, sasa ndio asiteuliwe eti kwa vile dada yake kaolewa na Lowassa?,
Ndugu yangu chitambikwa, nenda tuu kajipumsikie baada ya kutoka kwenye hayo matambikwa!.
Zaidi akaniambia kuwa mahakama hapa TZ inaogozwa na CCM na si serikali na wala haiwezi kuwa huru kwenye kesi yenye maslahi na CCM
Hata kama ana sifa je ni yeye peke yake mwenye sifa? kama wapo wengi kwa nini asichaguliwe mwingine ambaye hana masilahi na yeyote yule? Kweli Pasco hauoni hilo ni tatizo?chitambikwa, tuseme ni kweli Jaji Damian Lubuva ni kaka yake mke wa Lowassa, sasa ndio unamaani hiyo ndiyo sifa iliyomfanya achaguliwe kuwa mwenyekiti wa NEC?.
Jee kama uteuzi wa jaji Lubuva umezingatia sifa na vigezo, sasa ndio asiteuliwe eti kwa vile dada yake kaolewa na Lowassa?,
Ndugu yangu chitambikwa, nenda tuu kajipumsikie baada ya kutoka kwenye hayo matambikwa!.
Mr. Zero, asante kuniaminia, nitawaomba tuungane kwa ninacho kiamini kwa urais wa 2015.
Nilimuuliza mtoa mada, jee kama jaji Lubuva anazo sifa zote na vigezo, jee anyimwe uteuzi kwa sababu tuu mke wa Lowassa katoka alikotoka Jaji Lubuva?.
Swali la kwanini jaji? ni kwa kwa mujibu wa ibara ya 74 ya katiba ya JMT
74.-(1) Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya
Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa
na Rais:-
(a) Jaji wa Mahakama Kuu au Jaji wa Mahakama ya
Rufani, ambaye atakuwa mwenyekiti;
(b) Makamu Mwenyekiti ambaye atakuwa mtu
anayeshika, aliyewahi kushika au anayestahili
kuteuliwa kushika madaraka ya Jaji wa Mahakama
Kuu au Jaji wa Mahakama ya Rufani;
HUYO JAJI MPUMBAVU KWELI... ANAJUA KABISA YUPO KWENYE LEGAL SYSTEM ILIYO CHINI YA WATU KAMA PINDI CHANA NA YEYE ANABAKI, NA KUPANDA MAVXV8 NA KUJA KULALAMA KWAKO
KWELI KAMA NDIO WASOMI WETU KAMA HUYO JAJI TUNA SAFARI NDEFU
INANIPA SHIDA IN A FEW HOURS FLIGH JAJI ANAZUNGUMZIA SINDANO YA MIONZI, LUBUVA NI SHEMEJI WA LOWASSA, LEGA SYSTEM IPO CHINI YA CCM HALAFU ANASHUKA KWENYE NDEGE NA MTUMBO-TUMBO WAKE (MAANA WENGI WANA VITAMBI KAMA WANAKULA JONGOO)... ANAINGIA KWENYE GARI TENA IMEPEWA SPECIAL PLATE NUMBER NA ANAKAA KITI CHA MBELE NA KUJISIKIA SPECIAL
HE/SHE IS SUCH AN IDIOT wahed
Kimbunga,Jamani sasa Mwenyekiti anaweza kuwa Jaji aliyestaafu? Mbona napata shida sasa.
Pasco,tukubaliane kama ni kweli huyu ni Shemeji wa Lowasa lipo tatizo tena zito sana! Hali ya nchi kwasasa tulipofikia si ya kuaminia kabisa,hata mkuu wa nchi alishawahi kukiri hilo na ndio maana hata yeye alitumia familia yake kusimamia kampeni! Anajua hatuaminiani tena kuliko wakati wowote ktk nchi hii na mbaya zaidi anajua nchi inavyowaka moto kwa sababu ya jina la lowasa! Alafu unamteua shemeji yake NEC! Tuna spin nini hapa? Ni bora tupinge si kweli lakini ukishasema hata kama ni kweli eti kwa kuwa anayosifa tutakuelewa kweli? Mnapokuwa na upande jamani jitahidini kucheza kisanyansi japo kidogo bora hata kukaa kimya kulinda Status yako! Tuna akili timamu! shemeji ya Lowasa! Alafu mnachukulia mzaha! Tuache kusimamia tu hoja hata penye ukweli! Kama habari hii ni kweli THIS IS TOTALLY COMPLETELY WRONG!!!!!!
Jamani sasa Mwenyekiti anaweza kuwa Jaji aliyestaafu? Mbona napata shida sasa.
sasa wewe jamaa unashangaza mtu wangu,ungetaka jaji afanyeje? atengue uteuzi wa rais?