Mwenyekiti NEC ni Shemeji wa Lowassa - Janga kubwa sana

Jaji Lubuva na Mke wa Fisadi wanatoka Kijiji kimoja hayo mengine si kweli. Fisadi alipoona Lubuva kateuliwa kuwa Mwenyekiti wa NEC ndio akaongeza mahusiano ya kifamilia akidhani yatamrubuni akubali kuweka rehani uzalendo wake kwa kununuliwa. Lakini kwa bahati nzuri Jaji Lubuva alitambua Jukumu lake kwa Taifa lake.
 
alimfisadi mama yako ?funguka dada yangu

swissme
 
Niliwahi sikia taarifa nilizoshindwa kudhibitisha kuwa jaji Lubuva na Lowasa Ngoyai, wameoa nyumba moja yaani mama Regina na mke wa lubuva ni watoto wa mtu mmoja, ni kweli????
mbona we umeolewa na wanaume wawili hatusemi
 
Jaji Lubuva na Mke wa Fisadi wanatoka Kijiji kimoja hayo mengine si kweli. Fisadi alipoona Lubuva kateuliwa kuwa Mwenyekiti wa NEC ndio akaongeza mahusiano ya kifamilia akidhani yatamrubuni akubali kuweka rehani uzalendo wake kwa kununuliwa. Lakini kwa bahati nzuri Jaji Lubuva alitambua Jukumu lake kwa Taifa lake.
Mkuu utasababisha Uzi ufutwe buree, umeanza vizuuuri ukamalizia poorly !!!!!!!!
 
Chadema ni bora mngejikita kuhoji ni kwa nini Mbowe aliuza chama chenu???

Naamini bila mbowe kuuza chama msingekengeuka kiasi hiki.

Leo mnapinga kila kitu na kujidai mnadai democrasia wakati ndani ya chadema hamna hata tone la democrasia.
 
Swali hilo Muulize Mbowe na Kubenea ndio walikuwa wanahubiri nami nikaamini. Rejea Mwahahalisi toleo no. 236 la Mwaka 211 ' Lowassa hasafishiki' na List of shame ya Chadema iliyosomwa Viwanja vya Mwembe Yanga unless otherwise uniambie Chadema huwa Waongo na Wazushi sio watu wa kuaminika
Hayo matoleo yalizungumzia mahusiano kati ya Lowasa na lubuva? Maana ndo lengo la Uzi , kama vile majibu yako yamekosea njia!!!!
 
Soma comment no. 223 ya Swissme uelewe imekuaje nimetoa ufafanuzi huo. Kama nimekukwaza uniwie radhi lakin huo ndio ukweli na ushahidi wa niliyoandika.
 
Back
Top Bottom