Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Mkuu mabadiliko ya kweli yatatokana na katiba. Kenya baada ya katiba mpya wana mwenyekiti wa tume kijana wa miaka 40 yaani ameibadili tume kabisaaa. Mambo yote sasa hivi ni .com. Vituo vinafungwa saa kumi na mbili matokeo rasmi saa mbili usiku siku hiyohiyo (uchaguzi mdogo). Hakuna cha kuuliza Harambee house (magogoni) kwamba watangaze ama la. Kama umebwaga uwe wa chama twawala ama pingamizi unachanwa live.tatizo sura zile zile pasco, yaani tanzania hakuna vichwa vingine?????? hasira ahgaaa!!!! mara mia ningesikia mkuu pasco, au mwanakijiji or fair player au waberoyo or kimbunga kaa!! changes we need more!!
Kuongoza tume ambayo haiko huru utaishia kukosa uhuru!