Hiki chuo sikuizi mnajibiwa mitihani plus degree za chupi kisha mnamaliza vyuo kichwani hamna kitu mnajaziliza na masters za mba za ifm na tumaini nako mnafanyiwa paper plus chupi works kisha mnakuja mtaani kuomba kazi mtu hata kujieleza hajui unashangaa anamiliki masters..ukimwomba aelezee paperwork yake ya masters anaishia kujiinamisha na kujiumauma...
Kama unajua kweli ulisoma na ukaingia darasani ukafanya assignments na mitihani yako mwenyewe..ni pm nikupeleke sehemu ukapige interview na ufanye kazi..hakuana atakayekuomba mshahara wako ..kinyume cha hapo endelea kununua kazi kama mlivokuwa mkinunua pepa vyuoni.
nothing personal
Ahsante kwa uhauri wako ila Capital inagomba
Pole gerald kwa majibu yote ambayo mengine ni ya fedhehedha naa kukatisha sana tamaa!
Uliweza Ni-PM niku-link na mshikaji mmoja who can assist you kwenye suala lako.
Nina bachelor ya Computer science, Diploma ya IT na FTC ya Electronics & Telecommunication mwenye uwezo wa kunipatia or kunitafutia ajira kwa garama yoyote ile plse!
yaan jwtz na polis huna haja ya kuhonga nenda na vyet vyako tu hata vya KUGHUSH UNAPATA
Pole gerald kwa majibu yote ambayo mengine ni ya fedhehedha naa kukatisha sana tamaa!
Uliweza Ni-PM niku-link na mshikaji mmoja who can assist you kwenye suala lako.
inamaana Uko tayari kutoa hata rushwa ya ngono???????,