Elimu ipo chuo chochote, uzito upo UDSM: Wanapewa kipaumbele kwenye ajira, maofisini asilimia kubwa ya vyeo vizito ni zao la UDSM

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
290
830
Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni.

Baada ya kumaliza chuo kama huna connection, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele kwenye ajira ? chuo ulichosoma kimejaza watu kwenye nafasi za juu wanaoweza kukupigia debe kwenye usaili upate ajira kisa mmesoma chuo kimoja ?

Umemaliza chuo huna connection wala hujulikani wala huna uzoefu, kataa usikatae chuo ulichosoma kinaweza kukusaidia kuongeza value yako, UDSM ndio chuo kilichojaza sana watu wenye vyeo vya juu kuanzia sekta ya umma hadi makampuni makubwa binafsi, sasa niwapeni siri !! kataa kubali kuna ile pride imejificha ya kuamini chuo ulichosoma kinatoa watu walioiva, kwenye interview nje ya kujuana na factors nyingine kuna haya mambo yanaweza kuwa advantage kwa mwana udsm kwasababu ni kawaida kukuta kwenye taasisi / shirika nafasi za juu wenye power ya kupachika watu kazini ni wana udsm

Kiufupi niseme kama ni kuiva tu, wanafunzi wa vyuo kibao wameiva, mfano mdogo nikiulizwa chuo kipi kizuri kwa sayansi, sipepesi macho ntasema ni DIT ama MUST wapo nondo lakini ukiniomba ushauri kwa lengo la ajira, sipepesi macho nitakwambia nenda UDSM, Ni kweli kuna tatizo la ajira na wapo wahitimu wa udsm tunawaona mitaani wakipigwa jua lakini overall udsm wana nafuu.

Sitaki kuongea sana twendeni kwa facts, kwa leo tuanze na sekta ya benki tuangalie NMB na CRDB.

NMB

Ruth Zaipuna - CHIEF EXECUTIVE OFFICER
Bachelor of Commerce in Corporate Finance - University of Dar es Salaam.

Alfred Shao - CHIEF WHOLESALE BANKING
Bachelor of Commerce in Corporate Finance - University of Dar es Salaam.


Ezekiel Herman - CHIEF COMPLIANCE OFFICER
Bachelor of Commerce in Accounting) - University of Dar es Salaam

Filbert Mponzi - CHIEF RETAIL BANKING
Bachelor of Commerce in Accounting - University of Dar es Salaam

Aziz Chacha - TREASURER
Manchester Business School of the University of Manchester, United Kingdom

Doreen Joseph - CHIEF RISK OFFICER
Bachelor’s Degree in Commerce and Management - University of Dar es Salaam

Nenyuata Mejooli - CHIEF SHARED SERVICES
Bachelor of Science in Electronics - Bangalore University (India)

Kwame Makundi - CHIEF TECHNOLOGY AND DIGITAL TRANSFORMATION
Bachelor of Science in Computer Engineering and Information Technology - University of Dar es Salaam

Emmanuel Akonaay - CHIEF HUMAN RESOURCES OFFICER
Bachelor of Arts Degree - University of Dar es Salaam

Benedicto Baragomwa - CHIEF INTERNAL AUDIT
Bachelor’s Degree in Accounting & Finance - Mzumbe

Juma Kimori - CHIEF FINANCIAL OFFICER
Bachelor of Commerce in Accounting - University of Dar es Salaam

Nishad Jinah - ACTING CHIEF CREDIT OFFICER
Bachelor’s Degree in Banking and Finance - London School of Economics.





CRDB

Abdulmajid Mussa Nsekela - Group CEO and Managing Director
Advanced Diploma in Banking - Institute of Finance Management (IFM)

Bruce Mwile Mwasenga - Chief Operations Officer
Bachelor’s Degree of Commerce both in Finance - University of Dar es Salaam

Fredrick Bayona Nshekanabo - Chief Financial Officer
Advanced Diploma in Accountancy from the Institute of Finance Management (IFM)

Godfrey Rutasingwa - Director of Human Resources
Bachelor of Education degree - University of Dar es Salaam

Boma Raballa - Chief Commercial Officer
Bachelor of Business Administration (Accounting) from Kampala International University, Uganda.

Prosper Nambaya - Director of Corporate Banking
Bachelor of Arts (B.A.), Economics - University of Dar es Salaam

Leo Ndimbo - Director of Business Transformation
Computer Engineering from New Horizons University

Godfrey Sigalla - Director of Internal Audit
Bachelor of Commerce in Accountancy - University of Dar es Salaam

John Baptist Rugambo - Company Secretary
Bachelor in International Business Administration - United States International University of Africa, Nairobi.

Alexander Samson Ngusaru - Director of Treasury
Bachelor of Commerce in Finance - University of Dar es Salaam.

Bonaventura Paul - Director of Retail Banking
Advanced Diploma in Accounting - Institute of Accountancy Arusha

Tully Esther Mwambapa - Director of Corporate Affairs and Public Relations
Bachelor of Arts in Public Administration & International Relations - University of Dar es Salaam.

Pendason Philemon - Director of Procurement
Procurement and Supply Chain Management - Tanzania Institute Accountancy (TIA)

Xavery Makwi - Director of Credit
Bachelor of Commerce in Accountancy - University of Dar es Salaam

Deusdedit Massuka - Director of Information Communication Technology
Bachelor of Science degree in Automation - Saint Petersburg State Technical University, Russia.

James Isaack Mabula - Director of Risk and Compliance
Advanced Diploma in Certified Accountancy -Mzumbe University
 
Endelea kujipa moyo, UDSM ndio washajaa kwenye system na tena wanapenda kuwekana wao kwa wao

Hata Mawaziri kibao miaka nenda rudi hadi sasa ni UDSM

Ila huu uzi tutadeal zaidi na makampuni
Unaweza vipi kujipa moyo? Huna unalolielewa, mambo ya ajira za Bongo ni network na sometimes Alumni wanabebana.

Udsm ni chuo kikongwe wamepita kina Museven hapo.
 
Usenge usenge tu.
Ukiuliza mambo ya maana wanayofanya kuinua jamii hakuna zaid ya kuiba pesa kupitia mikopo kandamizi kwaa watumishi tu. Huhitaji kuwa mbunifu kuongoza bank katika nchi za kiafrika. Wala huhitaji hata degree
 
Hakuna lolote. Unajidanganya.

Humo pamejaa mavichwa maji wengi kuliko kawaida.

Labda zamani enzi za Nyerere angalau, lakini hata hivyo bado sana.

Elimu yenyewe inayotolewa pale ni TIA MAJI TIA MAJI, ni elimu mfu kama ilivyo elimu ya vyuo vingine vya kata.
 
Usenge usenge tu.
Ukiuliza mambo ya maana wanayofanya kuinua jamii hakuna zaid ya kuiba pesa kupitia mikopo kandamizi kwaa watumishi tu. Huhitaji kuwa mbunifu kuongoza bank katika nchi za kiafrika. Wala huhitaji hata degree
Punguza hasira mkuu
 
Back
Top Bottom