Chongeni
Member
- Jun 16, 2020
- 6
- 13
TRA wamewa-shortlist wenye digrii za Bank & Finance Kwa kigezo cha Finance, wamewaita kwenye usaili na namba za usaili wakawapa, Lakini siku ya Interview wakawatenga.
Ajira za TRA kupitia utumishi hazijawahi kuwatenga watu wenye Elimu ya Finance, vijana wengi tunawafahamu wameajiriwa TRA na wana digrii za Bank & Finance, na wanafanya vizuri huko kazini. Lakini TRA wamepewa mamlaka ya kuajiri wenyewe wanawatenga watoto wa masikini, tafadhali raisi ingilia kati, warudishe TRA utumishi.
Wanachotakiwa kuangalia ni nani amefanya vizuri Interview ya kodi ndo apewe ajira na sio digrii yake ya Finance au Tax.
Mwenye digrii ya Banking & Finance huenda akafaulu vizuri Interview ile ya maswali ya kodi na akafanya vizuri kazini kuliko mwenye digrii ya kodi, Lakini bado watamuacha mtu wa Banking & Finance na kumchukua huyo aliyefeli.
Banking & Finance, Accounting, Economic & tax course wote wamesoma Computation na wengi wamefanya options za accounting kwenye hiyo finance, wote wapewe haki Sawa za ajira na sio ubaguzi, tunaogombania kuajiriwa wote ni watoto wa Mtanzania masikini.
Raisi Samia ingilia kati hizi ajira za TRA, rudisha utumishi watoto wa masikini tusibaguliwe.
Nawasilisha!