Mwenye uwezo wa kunipatia or kunitafutia ajira plse nisaiedieni hata kwa kuinunua!

Ebu sema jinsia yako mara nikupe kazi maana factors zingne naona umefeli.
Umesema kazi kwa gharama yyte ila huna capital. sema jinsia ako.

Ukiweza kunipatia ni PM kuhusu factors umejuaje kama nimefeli? mambo ya jinsia yanatoka wapi hapa

Mbona jamaa kaeleweka. Yeye anataka kujua kama unagawa ****/kushikishwa ukuta , si unajua mayanki wa bongo fleva wako tayari kufanya chochote ili wapate kile wanachohitaji.
 
Mbona jamaa kaeleweka. Yeye anataka kujua kama unagawa ****/kushikishwa ukuta , si unajua mayanki wa bongo fleva wako tayari kufanya chochote ili wapate kile wanachohitaji.

Mkerekwetwa
mwenye nia ya kusaidia wapo, tutoe mawazo mgando kua ngono ndio fadhila ya kusaidiwa kama ilishakua inafanyika ni hapo zamani dunia ya sasa ni mtu kuamua kufanya or la!
 
Last edited by a moderator:

Kwa jibu hili jiandae hata kununua probation! Na hujanunua promotion!
Ina maana hapo hujafanya hata effort ya kuelewa anamuongelea member yupi na utampataje?
Graduates wa siku hizi mnachosha! Aibu hata kumpeleka mtu interview!
Ok nipe ID yake ni PM
 
Ahsante labda ungenisaidia kunipa ID yake wewe ili niweze kuPM anisaidie kunipeleka kwenye hiyo interview
Nimejaribu kumuuliza anipatie hiyo ID ya huyo member akunijibu yeye alichofanya ameQuote kwa huyo member.
 
Hivyo vyeti hukununua pia? How come upate taabu hivyo, na Je, pesa ya kununua kazi umetoa wapi. Kwa nini usiendelee hukohuko ulikopata pesa ya kununua kazi nyingine? Vinginevyo if you are competent enough ni PM kazi utapata subject to a very little muda wa matazamio. All the best.
 
Chizi Fureshi
NimeshakuPM ni kwamba nilikua nafanya kazi za project na zimeisha na kampuni imeamisha kazi zake RSA so, kwasasa inanibidi nitafute ajira nyingine thx.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom