Mwenye kuelewa mshahara wa customer care Vodacom na Airtel

Ukifanya kazi mwez mzima bila kutega wala kuumwa na kupokea simu 180nakuendelea kwa siku na bila kuwa na warnings na talk time iwe 2:30dk bac utajikuta unafikisha laki nne kasoro lakin ukiumwa siku moja tu jua unafikisha 3kasoro nimeacha kaz mwez ulipita full kugandamizwa
 
Hiyo ni kwa voda
 
hongera kwa kujitambua mapema na kusepa mkuu...EROLINK ni majizi, makupe na matapeli wakubwa!
 
Halafu ukiujua huo mshahara itakusaidia nini?Fanya interview upewe mkataba then uamue kama unasain au hapana.Soko huria hili ukikomalia kuuliza mishahara utauliza sana wakati wenzako wanapata experience wanachukua kazi za maana.

kwa hiyo kumbe mshahara ni negotiable kama wanavyolipwa wachezaji soka wa kulipwa? hebu tujuze vizuri mkuu.

na mtu akipata experience ya customer care anachukua kazi gani ya maana zaidi ya kuwa team leader au quality assessor? ndiyo kazi ya maana hiyo?
 
Ukifanya kazi mwez mzima bila kutega wala kuumwa na kupokea simu 180nakuendelea kwa siku na bila kuwa na warnings na talk time iwe 2:30dk bac utajikuta unafikisha laki nne kasoro lakin ukiumwa siku moja tu jua unafikisha 3kasoro nimeacha kaz mwez ulipita full kugandamizwa

simu 180 per day??!! Naziona nyingi ukilinganisha na mshahara kweli vijana tunateseka
 
Hujui kuwa muda ni pesa?kujua pia kunasaidia ili ajue kama aende hiyo interview au apotezee.

Maana kwenda kukalishwa interview watu kazi yenyewe ya hovyo ni upotevu wa muda bure.

Ni upotevu wa muda kama una mipango mingine ya maana lakini kama unawahi kijiweni kucheza draft...wewe utakuwa mwehu...
 
Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana, tunapenda sana mishahara mikubwa wakati utendaji wa kazi ni mbovu.

Nani atawapa mishahara wakati huko maofisini muda wote mnawaza kudinyana tu na kuacha kufanya kazi, utawakuta asubuhi ofisini wanabishana mpira kama wapo uwanja wa taifa, yaani zogo kama wapo shimoni kariakoo.

Muda wote wanatongozana tu huku ufanisi wa kazi ukiwa zero....ndio maana wageni wanatudharau sana.

WATANGANYIKA tubadilike!
 
Back
Top Bottom