Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 594
- 235
Kumbe ndio maana huwa wana hasira ukiwauliza maswali mengi.
hahahahaha, kufa hawafi ila cha moto wanakiona
Kumbe ndio maana huwa wana hasira ukiwauliza maswali mengi.
Mkuu umeongea point Sana... yaani tuna shida kubwa Sana inayohitaji tubadilike.... Uwezo Wa akili zetu na mawazo yetu ni ujinga mtupu.... Kuna Uzi alianzishaga Nicholas naukubali Sana juu ya wafanyakazi Wa TZ.
khaa? kumbe wanapataga mshahara mdogo ivo? ukiwakuta wanavyojishaua apo reception kama wapo BOT vile kumbe maskin tu nfyuu
nenda kafanye interview ufanyishwe kazi kwa siku sita kwa wiki (bila kuumwa, udhuru, kuhudhuria maziko ya ndugu, etc). kwani nani kakuzuia? na acha watu wajadiliane kwa hoja. kama unaona huo mshahara unakutosha, pita kimyakimya ukaombe hiyo kazi.
Uchoro mtupu,huku hizo recruitment agencies zikilamba mpunga mrefu sana kutoka kwa hayo makampuni!!
Halafu ukiujua huo mshahara itakusaidia nini?Fanya interview upewe mkataba then uamue kama unasain au hapana.Soko huria hili ukikomalia kuuliza mishahara utauliza sana wakati wenzako wanapata experience wanachukua kazi za maana.
Halafu unakwenda renew line..Bogus wa VODA kwa mapause km alivyofanyiwa ktk interview ya kuvuana chupi anakuambia uandike no 5 ulizopiga mara ya mwisho.Km vile hajui kuwa simu ndio kitabu cha mawasiliano.Anaweza kujibu kipuuzi na buzzwords za kiingereza ,wakati ukimwambia aongee kiingereza full anaishia kuchekesha.
NANI ALIYEKUDANGANYA MSHAHARA UNA-MOTIVATE MTU KUFANYA KAZI ??? Muende shule mukasome muondoe ujinga
Mshahara haumotivate,ngoja nikasome tena theories za management
Lakini km nakujua naweza kuwa na watu number hata kumi ulizowahi ongea nazo ktk simu moja km si week.mobile phones zina phone books na hivyo ni watu siku hizi hawana sana kumbukumbu nje ya hizo simu ,labda zimu fulanifulani ambazo zina huduma ya kuweka kumbukumbu online au uwe na back up.Lengo la kuuliza namba tano na maswali mengine ni kwa usalama wako wanauliza ili wawe na uhakika kama kweli wewe ni muhusika la sivyo matapeli wangekuwa wanarenew mamba za watu na kufanya yao usiwalaumu customer care as if hayo maswali wanayookuuliza ni kwa faida yao.
Haahah simu ya kuongea lisaa tu inakera maskioni. Itakuwa hio ya siku nzima halafu 180 callsMimi nimefanya hiyo kazi ya call center kupokea na kupiga nikiwa na hawa wachina wa #StarTimes usiku nilikuwa sipati usingiz vzuri kwa jinsi maskio yanavyowaka moto kupokea simu 180 per day sio jambo la kitoto.....