uncledalali
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 249
- 115
Naomba kujuzwa tafadhari mshahara wa CCR vodacom(erolink) na CCR airtel (Ison)
Ukifanya kazi mwez mzima bila kutega wala kuumwa na kupokea simu 180nakuendelea kwa siku na bila kuwa na warnings na talk time iwe 2:30dk bac utajikuta unafikisha laki nne kasoro lakin ukiumwa siku moja tu jua unafikisha 3kasoro nimeacha kaz mwez ulipita full kugandamizwa

Halafu ukiujua huo mshahara itakusaidia nini?Fanya interview upewe mkataba then uamue kama unasain au hapana.Soko huria hili ukikomalia kuuliza mishahara utauliza sana wakati wenzako wanapata experience wanachukua kazi za maana.
wapo wanaohitaj hata hyo 230000hawaioni kama hamnaga comments mkae kimya
Take home ison 230000
Ukifanya kazi mwez mzima bila kutega wala kuumwa na kupokea simu 180nakuendelea kwa siku na bila kuwa na warnings na talk time iwe 2:30dk bac utajikuta unafikisha laki nne kasoro lakin ukiumwa siku moja tu jua unafikisha 3kasoro nimeacha kaz mwez ulipita full kugandamizwa
Hujui kuwa muda ni pesa?kujua pia kunasaidia ili ajue kama aende hiyo interview au apotezee.
Maana kwenda kukalishwa interview watu kazi yenyewe ya hovyo ni upotevu wa muda bure.