@baraka boki uko wapi? uzi wako uliolala kwa takriban mwaka na nusu umeamka.
Hongera.
Siku si nyingi mtamsikia hongkong kanaswa na sembe....
We! unataka chama chetu kife? wakati 2015 ndo hiyo inakuja?daaaa watuonyeshe live anavyobembea kwenye kitanzi......
nasi kwetu tuweke sheria hiyo itasaidia watu kupunguza biashara hii...
Kuna uzi humu,huyu nae keshadakwa Macau China na kete nyingi za madawa! Kama ni kweli mods ungeni habari hizi!
Siku si nyingi mtamsikia hongkong kanaswa na sembe....
kwani si amekamatwa tayari huko Macau,Thailand
daaaa watuonyeshe live anavyobembea kwenye kitanzi......
nasi kwetu tuweke sheria hiyo itasaidia watu kupunguza biashara hii...
Huyu ndo mbebi wa Le Mutuz?
Ndio hawa hawa Alhaj Kapuya aliosema watoto wao wanafanya biashara ya PODA lakini hawakamatwi kwa kuwa hii ni serikali yao!!!
Huyu ndo mbebi wa Le Mutuz?
Macau na Thailand ni sehemu mbili tofauti rafiki...
Macau ni moja ya mamlaka zilizopo chini ya nchi ya China na Thailand ni nchi nyingine iliyopo karibu na China.
Mji mkuu wa Thailand, Bangkok ni moja kati ya miji iliyochafuka sana kwa biashara haramu za kila aina ikiwemo hii ya madawa ya kulevya.
Watanzania wengi hujifanya kwenda huko kibiashara kumbe wengine hufuata mzigo huko kama hii ya madawa ya kulevya.
baada ya hapo nilijitahidi kumfatilia mpaka nikamjua vyema Beach baby