Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff

fundikira yupo polisi,,,

Ndio Jestina, Jamaa yuko mahabusu sasa hivi (labda kama kahonga katolewa sasa hivi) lakini mpaka nalala Jana alikua anashikiliwa na polisi kwa kosa la kujihusisha na madawa ya kulevya, amekua akitajwa muda mrefu kama mtu anayesafirisha mihadarati na kujihusisha na mtandao wa madawa ya kulevya, ndio maana yeye na mke wake huwa wanatumia pesa hovyo, si unajua drug dealers hawaumizi kichwa kuhusu matumizi? pesa haramu nyepesi sana

alinaswa nyumbani kwake na alikua kajificha juu ya dari ya nyumba, polisi wakamchoropoa hukohuko, uchunguzi wa awali unaonyesha mke wake anajua A to Z juu ya biashara ya mumewe, alijitahidi hata kuficha ukweli pale polisi walipowavamia nyumbani kwao, kisheria huyu naye ni mhalifu
 
duh! Hii ndiyo Bongo yetu, na watu wa namna hiyo wako wengi mnoo wanaharibia mabinti zetu kwa hela zako chafu.
Sintosangaaa kusikia kesho Fundikira sijui kaachiwa huru kwa kutokua na kosa, polisi walikosea ulikua ni unga wa kawaida tu alikua anauza kwa jumla jumla kama sio chumvi na wala sio madawa ya kulevya
 
Ni kweli ana pesa sana, mume wake anauza dawa za kulevya na sasa yuko mikononi mwa polisi

Na yeye kimenuka.. Yupo mikononi mwa polisi, eee, maisha yake yote ni mikosi, eeeh!

Mwenye uzi huu aliona mbali, kuna thread relevant na hii, ina'prove right!
 
daaaa watuonyeshe live anavyobembea kwenye kitanzi......
nasi kwetu tuweke sheria hiyo itasaidia watu kupunguza biashara hii...
 
Back
Top Bottom