Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff

Heaven on Earth jack anaringa jamani,mashauzi ptuuu utafikiri hanyi.
Huwa tunaonana mara kwa mara saloon kwa jack manyanya yaaaani aiyayayaya.Mwanamke mashauzi sasa ataiona jun july.
Alipokuwa na bint kiziwi mpaka akakamatwa akamkimbia akafikiri amewin kumbe wenzake wanammemndea.
Ila ubongo wa kondoo ubongo wa kondoo tu huyu alikuwa na bint kiziwi wote mpaka mwenzie akashikwa wapo pamoja bado akarudi kulekule na mzigo?kisa aende eatv sijui clouds kusema kuwa: i live a very expensive life,my gown from zarra usd 1800,this is diamond ring i bought it in germany.............bla bla kibao.
Atasugua gaga uchinani.

dah....kweli Jf zaidi ya Google..
 
Last edited by a moderator:
jana nilikuwa naangalia kipindi cha chartroom katika clouds tv nikakuta huyo mrembo anajisifu kwamba anapesa embu mwenye cvs yake atujuze huyo mrembo alipotokea

Baraka Boki (MEng,MBA from Duke University)

Daa jf ni mwisho wa matatizo,yalisemwa 2012 na majibu yamepatikana 2013. daaa jf yatosha na haina mpinzani.

ALAF HUYU JACKIE NILIMUONA PIA KWENYE KIPINDI CHA NIRVANA NA ALUKUWA ANA JISIFU SANA NA CHUMBA CHAKE KILUKUWA KIMEJAA VIATU,NGUO KAMA DUKANI VILE. NILIJIULIZA ANAFANYA KAZI GANI LAKINI SIKUPATA JIBU.
 
jana nilikuwa naangalia kipindi cha chartroom katika clouds tv nikakuta huyo mrembo anajisifu kwamba anapesa embu mwenye cvs yake atujuze huyo mrembo alipotokea

Baraka Boki (MEng,MBA from Duke University)

Tungekuwa serious basi huyu angekamatiwa hapa hapa Bongo kwa sababu kama alijinadi hivyo ingebidi afuatiliwe na kufahamu vyanzo vya mapato yake na hivyo kugundua kwamba ni mama wa unga. Lakini kwa kuwa wahusika hawapo serious basi walishindwa kuifanyia hii clue kazi! Clue kama hizi ni za kufanyiwa kazi na vyombo vyetu vya dola ili kuwanasa watu kama hawa badala ya kusubiri wakanaswe huko nje.

Hawakamatwi TZ cz the whole system,polisi ,siasani,usalama wa taifa nk ndo biashara zao,nani amkamate nani,..NJAA MBAYA SANA,
 
Hahahaaa...sasa yamemkuta.... nature is always absolute...

yaani hawa wanatufanya mpaka wenzao mjini hapa tujione tuna gundu a.k.a nuksi kusoma umesoma weeee umeajiriwa ila maisha hayaendi.
Wao kutwa kutuonyesha chumba kilichojaa viatu,nguo poch za lv na cl original wakati mie na salary slip yangu inaishia kwenye basic needs na kuishi kwa mkopo.Nilikuwa nasema God is not fair kumbe i was wrong.
Aliulizagwa clouds tv weekend chat show tunasikia wewe ni drug dealer akasema :u can see am very beatiful can i sell drugs haaa wiki haikuisha mumewe akakamatwa.
Mwaka haujakata na yeye kakamatwa
 
dah....kweli Jf zaidi ya Google..

tafuta hiyo clip ya mahojiano you tube na aliulizwa kabisa unahusika na drugs akajibu am very beatiful siwezi kuuza drugs.Ha ha ha haya sasa awajibu wamacao kuwa yeye ni beatiful wasimfunge.
Atasugua gaga macao.
Shenzy type kila siku kuturusha roho mjini na pilikapilika zisizoeleweka mpaka wenzao tunajiona tuna gundu.
Kumbe mi container mibeba mimba ya heroine
 
Ulimbukeni noma sana sasa huyu dogo alitoka njombe ndio kwao kaja mjini anataka na yeye aonekane wa mjini
 
Kama nilijua maana huyo demu alikuwa anaringa sana. Nafurahi mi ndiyo nilianzisha thread hii
 
yaani hawa wanatufanya mpaka wenzao mjini hapa tujione tuna gundu a.k.a nuksi kusoma umesoma weeee umeajiriwa ila maisha hayaendi.
Wao kutwa kutuonyesha chumba kilichojaa viatu,nguo poch za lv na cl original wakati mie na salary slip yangu inaishia kwenye basic needs na kuishi kwa mkopo.Nilikuwa nasema God is not fair kumbe i was wrong.
Aliulizagwa clouds tv weekend chat show tunasikia wewe ni drug dealer akasema :u can see am very beatiful can i sell drugs haaa wiki haikuisha mumewe akakamatwa.
Mwaka haujakata na yeye kakamatwa
Yaani we acha haya maisha ukiona unaweza kuifikia kesho na usilale njaa ni kushukuru Mungu sana, mtu unawezafikiri kuna kitu unakosea kuishi kumbe ni kwa sababu ya washenzi kama hawa wanaopiga dili feki halafu full mikelele kukwaza tu wengine
 
Hatimae fashionista kakamatwa luis vuitton atatuonesha nani hahahahah!! Kwenye swahili fashion week eatv niliona bi dada anavyojishaua na no fakezone.
 
Back
Top Bottom