niko mwanza,jamani maraha yananiua,msosi wa nguvu kirunba resort,live music villa,mwanza hotel live band wanawake wa ukweli.......yaani mwanza shuruti nirudi!
Huko Mwanza kunani? maana wanaoenda huko sifa zao kama zinafanana hivi!!!
Mkuu, maneno ya Mwz mbona mabwaku!
Tunu lukuki ! Labda nikupe moja ya tunu tulizonazo.
Mathalan huku tunae samaki anaeboresha yale mambo yetu, ziada ya Pweza x2!
Kiasi tunafuta medics za ku'reduce speed km per hour !
That's why nachelea kumkaribisha mtu kama Rutta najua akija akaila hiyo mifish, Madame atarudisha brideprice !
Au Aspirin akija huku ule mtandao wake utafariki !
Hahaha...huyo samaki gani tufanye mpango wa kumfuga huku maeneo ya pwani
Hivi hao samaki bado wanapatikana?. Ila napenda sana samaki aina ya Mbete!.Anaitwa Ningu! Huko hawezi mea due vary geographical methods !
Pole weee!
maskini mke wangu sijui km atasalimika maana wageni wa mwanza wamezidi baada ya kujua nimeondoka, ilikuwa Erickb52 mara tena leo Bishanga... ivi charminglady ntampata salama kweli
niko mwanza,jamani maraha yananiua,msosi wa nguvu kirunba resort,live music villa,mwanza hotel live band wanawake wa ukweli.......yaani mwanza shuruti nirudi!
maskini mke wangu sijui km atasalimika maana wageni wa mwanza wamezidi baada ya kujua nimeondoka, ilikuwa Erickb52 mara tena leo Bishanga... ivi charminglady ntampata salama kweli
Elizabeth Dominic kilichonitoa Mwanza ndio kitakachonirudisha tena kabla Bishanga hajaondoka. Salamu zangu kwa charmingladyKweli? Karibu ujue kilichomtoa Erickb52 manyoya.....for further info wasiliana na charminglady
Mkuu, maneno ya Mwz mbona mabwaku!
Tunu lukuki ! Labda nikupe moja ya tunu tulizonazo.
Mathalan huku tunae samaki anaeboresha yale mambo yetu, ziada ya Pweza x2!
Kiasi tunafuta medics za ku'reduce speed km per hour !
That's why nachelea kumkaribisha mtu kama Rutta najua akija akaila hiyo mifish, Madame atarudisha brideprice !
Au Aspirin akija huku ule mtandao wake utafariki !
Hahahahahahahahahahaha
mwanza,mwanza
huyo samaki naomba usimpatie Bishanga maana ata uwa mtu!