Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

kadogo2

JF-Expert Member
Feb 16, 2024
451
845
Nimesikitika sana rafiki yangu wa Miaka mingi alivyotaka kunigeuka

Niko mkoa x nimekuja nina Kama siku 3 nikamtonya best yangu kwamba nipo alipo bila hiyana akasema kadogo2 usiondoke bila kuonana na Mimi nikakubali wito kwasababu amekuwa rafiki yangu sana na hatujaonana Miaka miwili

Basi nikaitikia wito tukaonana alikuwa na mshikaji wake wakaagizia mbuzi katoliki tukala tukaenjoy na story mbili tatu, kufika saa3:20 nikamwambia best muda umeenda pia nasikia huku usalama mdogo wacha nirudi nilipotoka tutaonaa siku nyinginee ndio jamaa kuniomba nikaone alipoamia ili siku nyinginee nije

Nikauliza tu Kama usalama wa mimi kurudi nilipotoka utakuwepo akasema niondoe shaka anajuana na wengi,, basi mie huyo nikakubali tukaenda kwake, jamaa ana kageto chake cha kishikaji tukapiga story kidogo saa 4:15 nikamwambia muda umeenda niondoke sasa anitafutie Usafiri looohhapo ndio aliponiletea ungese pumbavu

Akaanza kung’ang’aniza nilale kwake akidai kuwa usiku umeenda sijui Hakuna usalama jamani sijawah kuchukia Kama nilivyochukuia hiyo siku… yaani nilitamani hata kumpiga maana mimi kule ni mgeni sipaelewi na ni usiku

Jamaa yule alifunga mlango mkubwa wa kutokea nikabaki koridoni masaa2 hataki niende ananilazimisha nilale, tuliendelea kubishana sana,, nilimtolea maneno magumu sana mwisho wa siku akaniruhusu nikaondoka

Nilichojifunza wanawake hawa wanaume tusiwaamini Hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke period ni suala la muda tu
 
Bora angekukula, uliona wapi urafiki wa swala na simba?
Nimesikitika sana rafiki yangu wa Miaka mingi alivyotaka kunigeuka

Niko mkoa x nimekuja nina Kama siku 3 nikamtonya best yangu kwamba nipo alipo bila hiyana akasema kadogo2 usiondoke bila kuonana na Mimi nikakubali wito kwasababu amekuwa rafiki yangu sana na hatujaonana Miaka miwili

Basi nikaitikia wito tukaonana alikuwa na mshikaji wake wakaagizia mbuzi katoliki tukala tukaenjoy na story mbili tatu, kufika saa3:20 nikamwambia best muda umeenda pia nasikia huku usalama mdogo wacha nirudi nilipotoka tutaonaa siku nyinginee ndio jamaa kuniomba nikaone alipoamia ili siku nyinginee nije

Nikauliza tu Kama usalama wa mimi kurudi nilipotoka utakuwepo akasema niondoe shaka anajuana na wengi,, basi mie huyo nikakubali tukaenda kwake, jamaa ana kageto chake cha kishikaji tukapiga story kidogo saa 4:15 nikamwambia muda umeenda niondoke sasa anitafutie Usafiri looohhapo ndio aliponiletea ungese pumbavu

Akaanza kung’ang’aniza nilale kwake akidai kuwa usiku umeenda sijui Hakuna usalama jamani sijawah kuchukia Kama nilivyochukuia hiyo siku… yaani nilitamani hata kumpiga maana mimi kule ni mgeni sipaelewi na ni usiku

Jamaa yule alifunga mlango mkubwa wa kutokea nikabaki koridoni masaa2 hataki niende ananilazimisha nilale, tuliendelea kubishana sana,, nilimtolea maneno magumu sana mwisho wa siku akaniruhusu nikaondoka

Nilichojifunza wanawake hawa wanaume tusiwaamini Hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke period ni suala la muda t
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom