Tii bila shuruti, hizo habari za kina Ipupa zitakuponza

Akina Nyerere enzi za wakoloni wangetii amri za kipuuzi kana hizi, mpaka leo tungekuwa chini ya wakoloni. Mnachoweza ni kutumia nguvu ambazo zinaanika upuuzi wenu wazi duniani. Na kwa taarifa yako nguvu hizi ni za muda mfupi sana, maana hamuwezi kuzuia madai halali kwa mabavu. Uzuri ujumbe wa madai ya hii katiba mpya umefikia wananchi na dunia vizuri, japo ni kwa njia hasi.
 
Acha ufara kwa mtandao,kaandamane huku kumuunga mkono bwana ako😃😃.
Ila nyie jamaa wajinga aisee😃😃
Kabisa mlijiaminisha kwamba unauungwaji mkono wa kiasi hicho😃
Mwingine yupo busy kwenye Twitter kutoka ubeligiji kuwaambia vijana wa Rock City waingie barabarani wakati yeye anakata mauono huko kwa beberus 😃😃
Jazaneni ujinga tu JPM alikua bingwa wa ukatili leo hii yukwapi? Cha kushangaza wapinzani mnaokejeli kesho wakihamia CCM mnawapa uongozi hku nyie UVCCM mkiendelea kusimama juani tu.

Weird!
 
Jazaneni ujinga tu JPM alikua bingwa wa ukatili leo hii yukwapi? Cha kushangaza wapinzani mnaokejeli kesho wakihamia CCM mnawapa uongozi hku nyie UVCCM mkiendelea kusimama juani tu.

Weird!
😃😃 ***** kwahiyo wapinzani waga hawafi.
Let's go kuandamana barabarani beibi!
Lissu kasema
 
Mkuu wa Mkoa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuruhusu mkutano mkubwa wa Mwamposa inafikirisha sana watu wenye akili.

Pale Nyamagana leo kuna mchezo wa soka na Watanzania wanaruhusiwa kwenda kuutazama...inafikirisha sana.
Inaonekana Corona inasambaa sana kwenye mikusanyiko ya wapinzani kuliko mikusanyiko mingine.
Afrika haiwezi kwenda mbele hata iweje.
Mkuu wa mkoa kaweka zuio la mikusanyiko. Makamanda wa Chadema wanasema watakusanyika kwa nguvu kufanya kongamano.

Usiku wa manane wanadakwa. Maana mkuu wa mkoa anazo taarifa za kiusalama.

Je, hapa nani amefanya kosa?

Tusilaumu bila ya kuwa na argument za msingi.
 
Sio uonevu,anaupiga mwingi..hamna adabu nyie mlianza kumtisha Rais,anawapa utaratibu msubirie mnstukana ,safi Sana ngoja aupige mwingi
Chadema huwa wanadeka na Hawajui wanataka nn mama awe mkali na Hawa Watu wengine wako ubeligiji Uko afu wanataka Watanzania eti waandamane kwa sababu ya uroho Wao wa kutaka madaraka
 
😃😃 ***** kwahiyo wapinzani waga hawafi.
Let's go kuandamana barabarani beibi!
Lissu kasema
Madaraka yanapita so sio kitu cha kuji proud.... Sabaya ni wa kulala kwenye sakafu?

Then mnaringia jeshi ili ku-intumidate watu wasiandamane? Nlidhani ni face off na CCM as civilians. Nakuhakikishia tungeheshimiana zamani sana kama kule kusini.
 
Chadema huwa wanadeka na Hawajui wanataka nn mama awe mkali na Hawa Watu wengine wako ubeligiji Uko afu wanataka Watanzania eti waandamane kwa sababu ya uroho Wao wa kutaka madaraka
Kenya jeshi lilikaa pembeni ikawa ni ODM vs NARC yaani panga kwa panga ndio maana mpka leo wanaheshimiana.

Samora,Tshisekedi,Kabila, na Museveni na kagame walipinga tawala zao wakiwa ugenini ssa watoto wa juzi mnadhani ni lazima uwepo Dar ndio uwe serious opposition.
 
Madaraka yanapita so sio kitu cha kuji proud.... Sabaya ni wa kulala kwenye sakafu?

Then mnaringia jeshi ili ku-intumidate watu wasiandamane? Nlidhani ni face off na CCM as civilians. Nakuhakikishia tungeheshimiana zamani sana kama kule kusini.
Kwa siku zote na Leo mmeshindwa Nini.
You need real people on the ground and not multiple IDs in social networks.
Pole Sana kamanda najua umechoka balaa Hadi unaburuza ulimi chini😃
 
Kwa siku zote na Leo mmeshindwa Nini.
You need real people on the ground and not multiple IDs in social networks.
Pole Sana kamanda najua umechoka balaa Hadi unaburuza ulimi chini😃
Ground ipi kwani unaowaona kwenye mikutano hawapo JF/Twitter. Wakijaa kwenye mikutano oooh wameenda kumshangaa mlemavu mara oooh hawapigi kura. Mkija tena mtandaoni oooh multiple ID sio ground!! WTF hivi si tozo zimefutwa baada ya kelele mitandaoni na hata bando hivo hivo?

Kuna wakati sijui reasoning za WaTZ zina shida gani. Yaani hatuna watu alafu bado mnazuia kongamano?

Embicile
 
Salami wana jamvi nimesikitika Sana kuona kilicho WA kuta viongozi wa chadema waliokua kwenye kongaamano LA katiba mpya kukamatwaa nakutiwa mbaroni na maafisa wapolisi mkoani mwanza tuna laani kitendo hicho kwani ni kitendo cha ovyoo na cha ajabuu Sana kutokea wakati huuu ambayo nchi inahitaji mabadiliko ya katiba
 
Wanazidi kuwapa umaarufu usio na maana, pia wanatengeneza attention paispo sababu

Wangewaacha na kuwapuuza
 
Yan haya machadema ba
Kenya jeshi lilikaa pembeni ikawa ni ODM vs NARC yaani panga kwa panga ndio maana mpka leo wanaheshimiana.

Samora,Tshisekedi,Kabila, na Museveni na kagame walipinga tawala zao wakiwa ugenini ssa watoto wa juzi mnadhani ni lazima uwepo Dar ndio uwe serious opposition.
Hiv mkuu nawew unazan Tanzania kuna chama cha upinzan wote hao wanaangalia matumbo yao Ndomana wakishateuliwa tu basi inakuwa mdomo umeziba angalia wakina mdee na wenzake wangekuwa wanajal Watanzania wangepinga kod mbaya za miamala
 
Milango wa Hotel ulivunjwa kama ile tunavyoonaga kwenye Moves? Maana yake Jambazi(mara nyingi) asijihami wala kujitetea kwa lolote. Mwenye hotel atafidiwa na nani?
 
Back
Top Bottom