Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao.
Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM.
Ni makao makuu mapya na yanayoendana na ukubwa wa chama hiki chenye mvuto kwa mamilioni ya Watanzania.
Ni makao makuu mapya yanayoonesha uongozi thabiti na mahiri wa mwanamapinduzi Freeman Mbowe ambaye uongozi wake unahitajika bado kwa miaka mingi ijayo ndani ya chama hiki kinachokiweka roho juu CCM.
Sisi wa Molemo Media tutakuwa Mubashara kuwaletea kila kitakachojiri.
Karibuni sana....
Updates....
Hali ilivyo sasa Makao Makuu Saa 5.30 asubuhi
Kwa muda huu hapa Makao makuu Mikocheni kumefurika umati mkubwa wa wanachama hususan kutoka Kanda hii ya Pwani pamoja na viongozi mbalimbali wa ngazi zote.Pia kuna idadi kubwa ya wanahabari wa vyombo vyote
Maandalizi yote muhimu yamekamilika na kilichobaki na kumsubiri Mwenyekiti Freeman Mbowe na viongozi wenzake wakuu wa chama.
Mwenyekiti amewasili saa 6 kamili akiongozana na Katibu Mkuu John Mnyika na viongozi wengine
Hotuba ya Mwenyekiti..
Mwenyekiti amezungumzia kuhusu Kikao cha Kamati kuu na maazimio yake kilichofanyika tarehe 8/1/2024 na kuazimia yafuatayo,
1.Kuitisha maandamano ya Amani Dar tarehe 24/1/2024 kushinikiza serikali kuondoa miswada iliyopeleka bungeni kuhusu uchaguzi
2.Kuitaka serikali kurekebisha mifumo yake inayosababisha kupanda kwa gharama za maisha hasa bei za vitu na bidhaa mbalimbali