Halafu kuna jitu unaliambia liwahi kazini linakuita mjinga, hawa ndio product za UDOM. Hovyo kabisa.Wenzao Dar wanaamka saa 10 alfajiri kuwahi kazini wao wanafikiri ni masihara.
Halafu kuna jitu unaliambia liwahi kazini linakuita mjinga, hawa ndio product za UDOM. Hovyo kabisa.Wenzao Dar wanaamka saa 10 alfajiri kuwahi kazini wao wanafikiri ni masihara.
Halafu kuna jitu unaliambia liwahi kazini linakuita mjinga, hawa ndio product za UDOM. Hovyo kabisa.
Kuwahi ofisini ni lazima kwa kuwa sheria inasema hivyo, hivi mnataka waje muda wautako ili iweje? Na akiwahi asipokuwa na ufanisi kuna sheria pia inachukuliwa, so lazima atimize wajibu wake ikiwa ni pamoja na kuwahi kazini.tatizo ni mfumo wa utendaji wa wafanyakazi wa serikali...
% kubwa wanafanya kazi kimazoea, wengi wanafanyakazi ili mradi wapate mshahara paspo kujari ufanisi.
*mfanyakazi anaweza kuwahi asubuhi kazini na asiwe na ufanisi ktk kazi.
Kuwahi ofisini ni lazima kwa kuwa sheria inasema hivyo, hivi mnataka waje muda wautako ili iweje? Na akiwahi asipokuwa na ufanisi kuna sheria pia inachukuliwa, so lazima atimize wajibu wake ikiwa ni pamoja na kuwahi kazini.