Mwanza: Mkurugenzi awafungia nje Wafanyakazi Wachelewaji

Halafu kuna jitu unaliambia liwahi kazini linakuita mjinga, hawa ndio product za UDOM. Hovyo kabisa.

tatizo ni mfumo wa utendaji wa wafanyakazi wa serikali...
% kubwa wanafanya kazi kimazoea, wengi wanafanyakazi ili mradi wapate mshahara paspo kujari ufanisi.

*mfanyakazi anaweza kuwahi asubuhi kazini na asiwe na ufanisi ktk kazi.
 
Kuwahi ofisini ni lazima kwa kuwa sheria inasema hivyo, hivi mnataka waje muda wautako ili iweje? Na akiwahi asipokuwa na ufanisi kuna sheria pia inachukuliwa, so lazima atimize wajibu wake ikiwa ni pamoja na kuwahi kazini.
 
mfanyakazi kuwahi kazini ni wajibu wake.

wewe unaongelea masaa ya kazi (quantity) mimi naongelea ufanisi wa kazi(quality).

pia. usimtete huyo mkuru maana ametumia njia\mbinu za kizamani.

ufanisi wa kazi unaongezwa kwa kuongeza motisha na mazingira mazuri ya kazi sio kubagua na kutoa adhabu...
 
Anafanya kazi isiyo kuwa yake ya kufunga geti. Mkurugenzi na mageti wapi na wapi? Yeye ashughulike na wakuu wa idara kwa namna wanavyotekeleza DIRA (vision) na MWELEKEO (Mission) ya Jiji.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom