Mwanza: Mkurugenzi awafungia nje Wafanyakazi Wachelewaji

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Mkurugenzi wa jiji la Mwanza kawafungia nje ya geti wafanyakazi wote waliochelewa kuingia kazini asubuhi ya leo.
13620869_1159658740763651_284820028194322068_n.jpg
 
Naomba awaulize watu wa ardhi kwanini HATI zetu za viwanja zinachelewa kiasi hicho ila mtu akioneka usoni HATI inatoka tena kwa haraka.
 
Du! yaani wote hao wamechelewa kazini?! Acha wafungiwe ili wakumbuke wajibu wao, sio kulilia ajira halafu kutumikia inakuwa tatizo., Na siku mkurugenzi akichelewa nae afungiwe tu hakuna mzaha na kazi.
 
Safi sana hawa wafanyakazi wa serikali wamezidi, unakuta mtu unashida unawahi asubuhi muda wa kufungua ofisi yeye anakuja sa 5, angalia hao wote wamechelewa. Ningekuwa mkurugenzi ningewakata na mishahara kabisa.
 
Back
Top Bottom