wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,454
- 4,376
anatafuta kick tu ktk media..Mkurugenzi ana kazi nyingi za kufanya na kusimamia sijui huu muda wa kuanza kumbizana kama watoto kautoa wapi!!
inaonekana bado majukumu hayajakuwa mengi kwakuwa bado mgeni...
kumfungia mfanyakazi wa kudumu nje sio tija... labda wangekuwa vibarua!.Safi sana hawa wafanyakazi wa serikali wamezidi, unakuta mtu unashida unawahi asubuhi muda wa kufungua ofisi yeye anakuja sa 5, angalia hao wote wamechelewa. Ningekuwa mkurugenzi ningewakata na mishahara kabisa.
mkurugenzi alipaswa kupiga mstari ktk daftari la mahudhurio, na wale walio chini ya mstari wange andikiwa barua ya kujitetea\kujieleza.