Mwandishi Dennis Msaki ajiuzulu "Nipashe"

Status
Not open for further replies.

Fisadi Mtoto

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
639
79
Mwandishi mahili wa gazeti la nipashe mwenye cheo cha News Editor Ndugu Dennis Msaki ameandika barua ya kuacha kazi kwa notice ya masaa 24 kuanzia saa sita mchana wa leo,kuna habari za kuaminika kuwa amekwenda kujiunga na gazeti la mtanzania la kampuni ya habari cooperation hasa baada ya kuonekana zaidi ya mara tano kwenye vikao na Hussein Bashe wa Habari.Hili ni pigo kubwa sana kwa Mzee Mengi .Baada ya barua kufika Jesse Kwayu ameonekana akienda kwenye kikao cha dharura na Managing Director.waandishi wote hapa news room ipp wanaonyesha kutoamini kilichotokea.
 
Last edited by a moderator:
Du njaa hizi zitatumaliza na vita dhidi ya ufisadi ni ngumu mno. Ngoja tusubiri atakachokuwa anaandika huko, maana atakuwa anajua siri za Mengi nyingi. Kaahidiwa dau kubwa kutoka pesa za ufisadi na kingmaker RA, na huenda keshanunuliwa jumba kubwa la kifahari mahali.
 
wakuu mie simlaumu.......hata nyie mkisikia RA ana recruit nishtueni....mzee mengi na yeye anwaminya sana mishahara wafanyakazi wake....
 
Du njaa hizi zitatumaliza na vita dhidi ya ufisadi ni ngumu mno. Ngoja tusubiri atakachokuwa anaandika huko, maana atakuwa anajua siri za Mengi nyingi. Kaahidiwa dau kubwa kutoka pesa za ufisadi na kingmaker RA, na huenda keshanunuliwa jumba kubwa la kifahari mahali.


Msaki ndo anatuhama Tabata! Na yule demu wake Nana Moleli anahama naye au?
 
simple kama Mengi kawadhulumu walemavu gari what makes you think atakuwa na moyo wa kuwalipa wafanyakazi wake vizuri?
 
Kama Kumbu kumbu zangu ni sahihi huyu jamaa kaenda Nipashe hivi juzi tu akitokea Mwananchi na ni kawaida waandishi kuhamahama. Pia ni rafiki wa karibu sana na Hussein Bashe( kijana namba mbili wa Rostam) tangu wakiwa mwananchi na majadiliano walianza hata kabla ya kwenda nipashe. Usishangae katangaziwa dau akabaki Nipashe. Tumbi joto sasa kule Mtanzania sijui anaenda kumuondoa nani
 
Ni vigumu sana kumbana mwandishi wa habari ni vigumu sana hata kama unamlipa whatever ammount...
 
simple kama Mengi kawadhulumu walemavu gari what makes you think atakuwa na moyo wa kuwalipa wafanyakazi wake vizuri?


Kwani wapi hawadhulumiwi?

Fatilia New Habari (2006) Limited wahariri na mabosi wengine wote hawana mikataba hawajaelewana na mwajiri wao baada ya kuja na mbinu chafu za kutaka kuwadhulumu na kukwepa kodi. Au unafikiri huku uraiani hatupati taarifa ?
 
JAMANI HIZI NJAA NDO ZINAIMALIZA NCHI YETU. NYERERE ALISEMA WATU MATAJIRI HAWATKIWA KUMILIKI VYOMBA VYA HABARI. UNAONA ROSTAM AZIZI ATAWAJENGEA NYUMBA NA KUWANUNULIA MAGARI YA KIFAHARI WATAKAOMLINDA. NANI YUKO TAYARI KUTOFANYA HIVYO?? Je UNGEKUWA WEWE UMEAHIDIWA KUPEWA GARI UTAFANYA NINI MBELE YA PAPA.

Tz ndo ilivyo wazeeeeee na vijana people are looking money now, Hata CCM watu wanakaa ajili ya PESA NA MIRADI YAO lakini si ajili ya MAENDELEO.

HILO MJUE HIVYO. TUTAKOMA na hv tz wenge ni mbumbu.
 
sasa hilo litakuwa ni pigo gani kwa mengi, kama ni mwandishi aliyeamia hapo juzijuzi tu, cha zaidi ataandika habari za mengi si chini ya mwezi kisha ataishiwa data na umaarufu wake ndio hivyo utakuwa umeishawatu kama Mengi sio rahisi kwa mtu wa kawaida kumbabaisha, mbona ze comedy waliokuwa maarufu zaidi ya huyo mwandishi, walimnyima usingizi mengi kwa muda mfupi lakini mengi bado anaendelea na biashara zake kama kawaida
 
Aliwo ekilema amahela? Ekilema amahela nagai, Teka kuli!

Tafsiri:

Kuna kinachoshinda pesa jamani? Kishindacho pesa tupa/put aside. Money is everything under this open roof of the sun. Ni rahisi kumshangaa Msaki but ni nani angechomolea dau hapa jamvini?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom