Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Ukisikia JF inaelekea either kuwa udaku,au forum inapoteza muelekeo ndo hivi sasa,ETI VIONGOZI WA SEREKALI WATAZIDIWA NGUVU NA Bashe,hivi unafahamu serekali wewe au unaropoka tu?
Halafu huna taarifa na hujafanya uchunguzi huna sababu ya kuonyesha ujinga wako,Viajana wa tbr wamekunsanywa wao mbuzi au mizigo au mazuzu acha kutukana dignity na akili za watu,halafu unachekesha kabisa eti UVCCM TBR ILIKANUSHA hivi unafahamu muundo wa UVCCM ktk ngazi ya mkoa?or unaongea tu,walokuja hapa maelezo waliandikwa na vyombo vya habari hao walowakanusha ni kinani?nalitolea wapi matamko yao,Eti bashe ni troubleshouter wa RA,hili ni Tatizo la kwetu watanzania kutafuta majibu rahisi na kuropoka.
NOW Commenting on DENIS MSAKI,SIKWELI KUWA MSAKI ANAENDA NEW HABARI 2006 LTD,msaki anenda ktk taasisi ingine aambayo sson wanaJF mtaifahamu hamkuwa na sababu ya kujadili jambo tulisilokuwa na uhakika nalo
Shikamoooooooooo. Pole sana. I have given enough thanks in this posts to dedicated comrades fighting against UFISADI hasa RA. Kwani ni nani hafahamu kuwa RA ameshaanza campaign za urais na wabunge?? Ni nani ambaye hafahamu kwa RA anaandaa watu wake wa kuchukua nafasi za ubunge maeneo fulani fulani ambayo yana wabunge wapinzani na wale wa SSM ambao wanapinga ufisadi?? Ni nani ambaye hafamu kuwa ni mpango wa RA kuhakikisha kuwa vyombo vya habari vya Mengi vinakufa au anavifanya nusu kaputi??? Ni nani ambaye hafahamu kuwa ili kufanikisha malengo yake ni lazima RA kununua key people katika biashara na kazi za wapinga ufisadi ili wapate pigo??? Ni nani ambaye hafamu kuwa RA kununua Habari corporation and now new habari (2006) ilikuwa na lengo mahususi kwa yule owner wa zamani na kwa future politics of this country??? Ni nani ambaye hafahamu kuwa New Habari outputs zake ni below standards na hazina reputation na sokoni zinarukiwa inzi??? Hata ile kufanya magazeti yawe attractive hata kwa macho bila cha maana kilichaoandikwa ndani wameshindwa?? Nakwambia hapo yanasubiri 2010 ikaribie ndipo yataaamka, yanasubiri kazi, kazi haijaanza!!!!????
Kuondoka kwa Denis Nipashe si issue, kwani huyo Denisi amekaa na ajira Nipashe kwa miaka mingapi?? He is not that much instrumental to the company!!!!??? Wapo watu pale IPP media wakiondoka itakuwa ni pigo, Si Denis Msacky ninayemfahamu, no way.
Mengi amekuwepo na vyombo vyake vya habari na makampuni yake na ataendelea kuwepo hata kama mafisadi mnamsumbua but for sure our hero will survive, vita ni lazima vipo tu hasa kama unaonekana kuwa na mafanikio. Kimaro wameamua kuumpa hasara, tutaona na kusikia mengi zaidi ya haya!!!!!!. Malori yanatumika...... nasema tutaona na kusikia mengi mpaka siku Rais na wabunge 2010 wanaapishwa!!!!