Mwanaume KAMILI

zimeyeyushwa na hii sredii au?
yan baada ya kugundua umwanaume kamili.
Haya maneno ya AshaDii hapa chini ndio yamemaliza hang over zote!! Ngoja nijitume kidume mie!!
Mwanaume kamili huendana na mazingira yoote, hana mtindo wa kuuza sura, wakati wa kazi ni wakati wa kazi! Wakati wa kuuza sura ni wakati wa kuuza sura! He is at home anywhere... iwe shamba, iwe kazini (ofisini), iwe kijiweni, iwe kwa wakwe, iwe nyumbani kwake na hasa kila chumba (i.e jikoni), iwe mbele ya kundi kubwa, iwe mkutano, He rules..... either by being a low key player or high key player.... Awe anajua ana madhaifu na asiwe muoga wa kuonesha hayo madhaifu (walau kwangu kama mpenzi wake). Ajue kua yeye ni mwanadamu kama wengine, ili a-appriciate wanadamu wali mzunguka regardless hali zao...

Mwanaume kamili ni yule mwanaume hata his fellow men wish to be like him.....
 
Mpe sifa zake Canta asije akapewa kwingine ukashangaa anahamisha majeshi.
Hahahahah!
Lizzy hilo sio ishu kwangu kbs,
Nitajitahidi kumrudisha akikaza shingo najua hapo riziki imeisha,
Navisha mwingine jezi na kumpa nafasi ya mazoezi,
Akifuzu tu nasajili bila kujali garama na maisha yanaendelea tu lol!
 
Go and ask her...... atakuambia she is the luckiest lady in the world ... to be married to this wonderful hubby of her.... Yes ODM! Nazichapa biya, na haki na haja zake namtimizia kama kawaida....
we endelea tu kuzichapa biya...Umeona Smile kakuuza kwa Eliza Tegeta??
 
Go and ask her...... atakuambia she is the luckiest lady in the world ... to be married to this wonderful hubby of her.... Yes ODM! Nazichapa biya, na haki na haja zake namtimizia kama kawaida....
alaah kumbee,
kama bibi iz owkay with it then no pee i ve to agree she iz the one lol.
luckiest bibi on earth.
 
Hii nimeipenda kwa kweli, nimepata picha the type of mwanaume wapenda.... Ulie mdiscribe yupo Perfect, In reality ni ngumu saana kumpata but wenye bahati zao wanapata, na hopefully utawa mmoja wao.....

Kwa upande wangu Mwanaume kamili ni yule ambae ananielewa ipasavo na on top of that ananijali mno hata kama hajanipenda mno! akinielewa ipasavo atajua nini nataka, wakati gani nataka hicho kitu; Atanijua tabia zangu zoote, nikiwa sad/emotional/sensitive/happy/horny/depressed - na atatafuta njia mbadala wa kunifanya niwe normal. In short on one to one... Atanifanya nijiskie I am special and Woman indeed. Atakua baba mzuri wa watoto wangu na kutimiza wajibu wake kama baba na Mume. Ana Utu kwa wanadamu woote sio tu wakaribu wake.....

Mwanaume kamili huendana na mazingira yoote, hana mtindo wa kuuza sura, wakati wa kazi ni wakati wa kazi! Wakati wa kuuza sura ni wakati wa kuuza sura! He is at home anywhere... iwe shamba, iwe kazini (ofisini), iwe kijiweni, iwe kwa wakwe, iwe nyumbani kwake na hasa kila chumba (i.e jikoni), iwe mbele ya kundi kubwa, iwe mkutano, He rules..... either by being a low key player or high key player.... Awe anajua ana madhaifu na asiwe muoga wa kuonesha hayo madhaifu (walau kwangu kama mpenzi wake). Ajue kua yeye ni mwanadamu kama wengine, ili a-appriciate wanadamu wali mzunguka regardless hali zao...

Mwanaume kamili ni yule mwanaume hata his fellow men wish to be like him.....

AshaDii thank you so much for this useful post
Umesema yote ambayo i was supposed to say anyway
Ila asante sana
 
Mwanaume kamili anajua anapohitajika. .
Hujitahidi 'kuwepo' hata akichoka!

Fafanua plse

Mwanaume kamili ni yule anaejiamini. .
Anaelewa thamani ya mwanamke na kumthamini!

Mwanaume kamili ni yule anaefahamu majukumu yake. .
Aliye tayari kusaidia, bila kusubiri mpaka atake!

Mwanaume kamili ni yule anaejielewa. .
Anaerudi nyumbani bila ya kulewa!

Mwanaume kamili anajua muda wa kurudi nyumbani. .
Hasubiri mama na wana wakamtafute kilabuni!

Mwanaume kamili anajua anapohitajika. .
Hujitahidi 'kuwepo' hata akichoka!

Mwanaume kamili anatambua umuhimu wake katika malezi. .
Anajua kuzaa pekee hakumfanyi mzazi!

Mwanaume kamili anajitahidi kuwa mwaminifu. .
Na hamwachi mwenzie atoke bila kumsifu!

Mwanaume kamili hufikiri kabla ya kutenda. .
Hafanyi makusudi kuumiza anaowapenda!

Mwanaume kamili hutumia neno 'samahani'. .
Hana makuu na kujikweza asilani!

Mwanaume kamili hupendeka. .
Hufanya iwe rahisi kwa mwenzi kucheka!!

Hongereni "wanaume kamili" wote ndani ya JF na uraiani. Kwa niaba ya wote wanaowakubali TUNAWAPENDA SANA. . Y'all are deeply appreciated!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom