Mwanaume KAMILI

Na news tutaangalia saa ngapi?
Kuna na magazeti ya kusoma pia. LOL.
A complete man is the one who has the understanding of the life and any field in the universe.

Kwani kumwelewa mwenzako na kumfabya ajisikie vizuri kunahitaji/mtaka mwelewaji kutofanya mambo mengine?
 
Hii ya kwako imekaribiana na uhalisia kwa kiasi kikubwa. Ila kuna misemo imenitoa ushamba hasa ukizingatia mimi ni born bush.
  • Hivi kuuza sura ndio kufanya nini tena?
  • He rules..... either by being a low key player or high key player.... Hii inataka nyama kidogo.
  • Hii ya kutembelea jikoni itakuwa ngumu kidogo. Huchelewi kuambiwa unamendea house girl a.ka. beki tatu.
  • "Atanifanya nijiskie I am special and Woman indeed" Hii nayo ina utata kidogo. Inabidi uongezee nyama kidogo ili walau tujue ni mambo gani yakifanyika utajisikia kuwa "special and woman in deed". Na mwanaume atajuaje unapojisikia hivyo - i.e. feedback gani atarajie?
Ukinifafanulia hayo tu nitakuwa nimekuelewa vyema na unaweza ukatunga mtihani nikafaulu.


Hivi kuuza sura ndio kufanya nini tena?

Kila mwanadamu ana maringo fulani fulani wakati fulani fulani, mara nyingi labda kuonekana wa level Fulani.... Sijui kama unanipata.... Nitolee mfano: Nipo na mume wangu maybe na baadhi ya marafiki, tupo kwenye usafiri then bahati mbaya gari inapta pancha, then anaanza lalama kua "Ah mimi siwezi toa tairi, ngoja tu niite hawa service (hali kwenye gari kuna jerk na kuna spare tire - he has to man up na kuweka tairi, hicho kitendo cha kujifanya hawezi ndio kuuza sura)

He rules..... either by being a low key player or high key player.... Hii inataka nyama kidogo.

Kwenye mkutano kuna makundi mawili, wawakilishaji, watendaji na audience, .... Inatakiwa akiwa ni mtendaji - awe mtendaji kweli na a Great organiser. Akiwa muwakilishaji - awe muwakilshaji kweli na sio wa kubabaisha, yaani he knows what he is delivering tokana na kujituma kwake kujua mambo yahusuyo kazi yake. Akiwa audience awe ni audience mwenye malengo na ajua nini katuata hapo. Key players ni mendanji na mwakilishaji, low key player ndio audience.

Hii ya kutembelea jikoni itakuwa ngumu kidogo..

I love cooking... especially for the people I love. Sipendi mwanaume ambae kanikuta jikoni, ana shida kama maji ya kunywa aniiitie sebuleni, chumbani or whatever! kisa tu jikoni yeye ajiona ni mwanaume hawezi ingia, wala hawezi akaja nikawa napika huku tukiongea kwa amani na furaha (hata once in a while) au nimeumwa haweza hata ingia kuchemsha chai. Hata tu ile siku moja (hata kama mara moja kwa miez akasema "Honey relax leo ngoja nikupikie...." My kitchen is my Kitchen, but Still I love a man who is at home in a kitchen ya mkewe (tu!!!)"Atanifanya nijiskie I am special and Woman indeed"

Atanifana nijisikie kua when I said "YES" to him.... It is one of the best decisions in my Life.....


BTW Tata, hebu relax a bit, the way watoa hoja, reply kama vile wewe ni mwalimu na wengine yatakiwa tufuate wewe nini wataka... Come on man.... Hopefully umenipata na nyama ni za kutosha...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Na news tutaangalia saa ngapi?
Kuna na magazeti ya kusoma pia. LOL.
A complete man is the one who has the understanding of the life and any field in the universe.

That too plus an understanding of me... Doing that does not require that much of the time bana! lol
 
What's your definition of kulewa?

Yangu ni kunywa pombe mpaka akili zinaruka, badala ya kufungua mlango unahangaika kuingiza ufunguo ukutani. Ukiandaliwa chakula mkono unanawa kwenye bakuli ya mboga. . .

Kama hufiki huko kote basi endelea kufurahia.

He he hee huko sijawahi fika except this one time na tulikuwa tumelewa wote.....all in all one cant be perfect my dear
 
He he hee huko sijawahi fika except this one time na tulikuwa tumelewa wote.....all in all one cant be perfect my dear

That's good.

Alafu perfection is not an issue, what's lacking in a lot of us is self-discpline, self-control, reliability,understanding and the ability to make good decisions.
 
Ha ha ha acha zirushwe ngumi, mmh, may be we can plan to go dancing
Argentine Tango???
avatar39766_3.gif

Aseeeeeee!!!!
mimi simo nimesema....simo kabisaaaa!!!
kama una Radio call, nipe number tupange sasa!!!
 
Hii nimeipenda kwa kweli, nimepata picha the type of mwanaume wapenda.... Ulie mdiscribe yupo Perfect, In reality ni ngumu saana kumpata but wenye bahati zao wanapata, na hopefully utawa mmoja wao.....

Kwa upande wangu Mwanaume kamili ni yule ambae ananielewa ipasavo na on top of that ananijali mno hata kama hajanipenda mno! akinielewa ipasavo atajua nini nataka, wakati gani nataka hicho kitu; Atanijua tabia zangu zoote, nikiwa sad/emotional/sensitive/happy/horny/depressed - na atatafuta njia mbadala wa kunifanya niwe normal. In short on one to one... Atanifanya nijiskie I am special and Woman indeed. Atakua baba mzuri wa watoto wangu na kutimiza wajibu wake kama baba na Mume. Ana Utu kwa wanadamu woote sio tu wakaribu wake.....

Mwanaume kamili huendana na mazingira yoote, hana mtindo wa kuuza sura, wakati wa kazi ni wakati wa kazi! Wakati wa kuuza sura ni wakati wa kuuza sura! He is at home anywhere... iwe shamba, iwe kazini (ofisini), iwe kijiweni, iwe kwa wakwe, iwe nyumbani kwake na hasa kila chumba (i.e jikoni), iwe mbele ya kundi kubwa, iwe mkutano, He rules..... either by being a low key player or high key player.... Awe anajua ana madhaifu na asiwe muoga wa kuonesha hayo madhaifu (walau kwangu kama mpenzi wake). Ajue kua yeye ni mwanadamu kama wengine, ili a-appriciate wanadamu wali mzunguka regardless hali zao...

Mwanaume kamili ni yule mwanaume hata his fellow men wish to be like him.....

Role model wangu nashukuru kwa hii post....let me dream again and work to live my dream....:poa

Hongera kwa wanaume kamili wote,najua ni wachache sana....lol
 
Mwanaume kamili ni yule anaejiamini. .
Anaelewa thamani ya mwanamke na kumthamini!

Mwanaume kamili ni yule anaefahamu majukumu yake. .
Aliye tayari kusaidia, bila kusubiri mpaka atake!

Mwanaume kamili ni yule anaejielewa. .
Anaerudi nyumbani bila ya kulewa!

Mwanaume kamili anajua muda wa kurudi nyumbani. .
Hasubiri mama na wana wakamtafute kilabuni!

Mwanaume kamili anajua anapohitajika. .
Hujitahidi 'kuwepo' hata akichoka!

Mwanaume kamili anatambua umuhimu wake katika malezi. .
Anajua kuzaa pekee hakumfanyi mzazi!

Mwanaume kamili anajitahidi kuwa mwaminifu. .
Na hamwachi mwenzie atoke bila kumsifu!

Mwanaume kamili hufikiri kabla ya kutenda. .
Hafanyi makusudi kuumiza anaowapenda!

Mwanaume kamili hutumia neno 'samahani'. .
Hana makuu na kujikweza asilani!

Mwanaume kamili hupendeka. .
Hufanya iwe rahisi kwa mwenzi kucheka!!

Hongereni "wanaume kamili" wote ndani ya JF na uraiani. Kwa niaba ya wote wanaowakubali TUNAWAPENDA SANA. . Y'all are deeply appreciated!

a.k.a "malaika"
 
Mwanaume kamili ni yule anaejiamini. .
Anaelewa thamani ya mwanamke na kumthamini!

Mwanaume kamili ni yule anaefahamu majukumu yake. .
Aliye tayari kusaidia, bila kusubiri mpaka atake!

Mwanaume kamili ni yule anaejielewa. .
Anaerudi nyumbani bila ya kulewa!

Mwanaume kamili anajua muda wa kurudi nyumbani. .
Hasubiri mama na wana wakamtafute kilabuni!

Mwanaume kamili anajua anapohitajika. .
Hujitahidi 'kuwepo' hata akichoka!

Mwanaume kamili anatambua umuhimu wake katika malezi. .
Anajua kuzaa pekee hakumfanyi mzazi!

Mwanaume kamili anajitahidi kuwa mwaminifu. .
Na hamwachi mwenzie atoke bila kumsifu!

Mwanaume kamili hufikiri kabla ya kutenda. .
Hafanyi makusudi kuumiza anaowapenda!

Mwanaume kamili hutumia neno 'samahani'. .
Hana makuu na kujikweza asilani!

Mwanaume kamili hupendeka. .
Hufanya iwe rahisi kwa mwenzi kucheka!!

Hongereni "wanaume kamili" wote ndani ya JF na uraiani. Kwa niaba ya wote wanaowakubali TUNAWAPENDA SANA. . Y'all are deeply appreciated!

lol! ahsante sana Mungu akubariki.
 
Mie najitahidi kuwa kile kinachoitwa mwanamume kamili, with reference to Lizzy na Ashadii; Kuwahi kurudi ndio inakuwa mtihani, ukichanganya na hizi foleni za Dar, siku nimewahi sana nimefika nyumbani saa mbili na nusu usiku. Hapo naongelea weekdays. Weekend najitahidi kuwa nafamilia kama sijabanwa na shughuli nyingine za kusaka mshiko
 
Mie najitahidi kuwa kile kinachoitwa mwanamume kamili, with reference to Lizzy na Ashadii; Kuwahi kurudi ndio inakuwa mtihani, ukichanganya na hizi foleni za Dar, siku nimewahi sana nimefika nyumbani saa mbili na nusu usiku. Hapo naongelea weekdays. Weekend najitahidi kuwa nafamilia kama sijabanwa na shughuli nyingine za kusaka mshiko

Hiyo sio mbaya kabisa. . .
Uko kwenye mstari!!
 
Alright then. . .
Ntaomba pale juu waandike "MALAIKA duniani"

thereabouts..hiyo tag haitakuwa mbali na mfano wa ulichok-describe kwenye poem yako..
....and malaika duniani = non-existent!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom