Mwanaume Hana Moods

Kuna kitu ukimpa atakuwa na mood kama simba, we mdadisi tu inawezelana anaogopa kusema.
 
nahisi hiyo ndoa wewe umeishikilia zaidi
yeye keshachoka lakini hana namna.....akipata namna huyo hutamuona.....

Dalili za desperation hizo. Ukiingiza na umri kwenda basi mtu anajiona kama vile hakuna tena maisha bila huyo mwenza wake.

Watanzania wengi tunashindwa kuelewa kuwa ndoa (na mahusiano) ni hiari. Ukweli huu hadi mwaka jana kuna watu humu walikuwa hawaujui.
 
mkuu mimi nilikuwa sijui kuwa kuna watu hawajui 'ndoa ni hiari'
really??????
 
Nahisi kuna mtu kaiba password yako...

inawezekana hujanielewa.....
but huwezi amini....msimamo wako ndio wanawake wengi walivyo.....
anaomba ushauri huku anataka 'ushauri wa aina fulani tuu'
ukimpa ushauri tofauti tu mnagombana....
 
Boss umesahau jamii yetu ilivo hasa ukiwa mwanamke na watoto tayari ndoa nyingi zinashikiliwa kwa vigezo vingine iwe mapenzi yameisha lazima muendele kudunda kufurahisha watazamaji

Good girl...mising u badly
 
Boss umesahau jamii yetu ilivo hasa ukiwa mwanamke na watoto tayari ndoa nyingi zinashikiliwa kwa vigezo vingine iwe mapenzi yameisha lazima muendele kudunda kufurahisha watazamaji

Halafu Dena amekimbia but tungempa ushauri mzuri zaidi....
kuna faida nyiingi za 'kuachana kwa wema' mapema kuliko
kuvumilia kero....faida moja ni uwezekano mkubwa wa kurudiana kwa moto mpya...
 
Halafu Dena amekimbia but tungempa ushauri mzuri zaidi....
kuna faida nyiingi za 'kuachana kwa wema' mapema kuliko kuvumilia kero....faida moja ni uwezekano mkubwa wa kurudiana kwa moto mpya...

mkuu kuachana ni kuachana tu haijarishi ni kwa wema au kwa mabay .. kumbuka mkiachana lazima kuna vitu kama hasira na visasi huanza hasa panapotokea mabadiliko ya mahusiano
 
mkuu kuachana ni kuachana tu haijarishi ni kwa wema au kwa mabay .. kumbuka mkiachana lazima kuna vitu kama hasira na visasi huanza hasa panapotokea mabadiliko ya mahusiano

sio lazima iwe hivyo...
wapo watu wanaachana kwa wema
na wapo wengi tuu..
 
Lol! Hebu ntake radhi... Mwanamke akinuna habembelezwi,mwanaume ndi afanywa mungu? Unabembeleza mara ya kwanza na ya pili, akija kanuna unajiimbia miziki yako na kufurahia maisha hadi anaanza kuwa na wasiwasi. Kuna ka-line kanasema 'I learned from the best,I learned from u'
hahaha umepinda wewe...hapa anaambiwa "ampikie apendacho, labda Dena ndo chanzo, apindue sofa etc"....hahaha umeniua mpenzi.
 
Yaani kabisa huna watu nje ya JF wanaoweza kukupa msaada wa kimawazo na wa kihali hadi uje uweke matatizo yenu ya ndani kwenye hadhira ya JF?

Mwiko upo wapi akifanya hivyo. Ni sawa. Na wewe ile ya demu wako aliyemegwa umesahau au????????????
 
Mdogo wangu The Finest, hapo kwenye Gubu la mume acha kabisa.....mara mia la wifi nakwambia!
Mama wa Kwanza we acha tuuuu ni muda kama wiki tatu hivi

...lohhh,...haahha...mwj1 hiyo gubu mbona umeisisitiza hivyo?

jamaa amejikaza kisabuni, anakufa na tai yake shingoni...
hizo wiki tatu ina maana unampikia anakula, mnalala kitanda kimoja,
labda mnadrive wote kwenda na kurudi kazini...mnh?

hapana bana,...jishushe tu yaishe...
 
Back
Top Bottom