Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Wakuu,

Napitia Sanaa threads nyingi humu MMU, karibia asilimia zote wadau wanajisifia kupita na Pisi Kali TU

Sijui, ana shepu, sura ya kuvutia, kalio kubwa nk.

Sasa najiuliza hizi Pisi mbovu/ za kawaida wao hawana wapenzi?

Binafsi MIMI PISI YANGU Ya kawaida, tunapendana kweli na natarajia kumuoa soon

KUONGOZEA:
Kiukweli nimeshachepuka Sana na Pisi hizo zenu mnazojinadi nazo humu kila siku, ila mwisho hakuna Cha maana za ya kuzinguana na kuachana TU

MY INTAKE:
Hizi Pisi Kali hamna kitu, Piga TU kwa matamanio ila Pisi za kuoa Ni zile mbayaaa, Tena mbayaaa.......ile inshu ya KATAA NDOA tutaisahau

Pia mwanaume kuja kulia sijui demu/mke sijui anazingua/anachepuka Ni ufala

MWISHO:

Popote Ulipo Pisi ya kawaida; usiye na shepu, huvutii, huna kalio Wala sura, ENJOY UR SELF

shi na ule msemo Mungu hakunyimi kila kitu, waache wao na uzuri wao Alafu kila siku wanaishia kuwa Single Mom's, huku ww unaendeleaje na NDOA yako tamu yenye furaha.

Nimemaliza!
 
Back
Top Bottom