Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
Umemaliza kila kitu..................
so my dear...haya matatizo cjui ya kununiwa,cjui kasusa kula ni wengine 2nayaona ya kawaida sana...
Umemaliza kila kitu..................
Dah.......hapo kwenye red nyamayao unabaki kujiuliza hivi ananisemaje kwa mama! Maana mpaka aambiwe aje apumzike ndo kusema mke umeshindwa kumpumzisha eh. Kaazi kweli kwelindio swir....imagine huko kikatokea k2 kibaya cjasema lolote kwa family yake, c itakula kwangu?...mtoto kwa mama hakui milele, kuna wkt nilikuwa napekua cm yake kutafuta no ya mdada niliyoambiwa ndio anakula nae gud tym cku hizi, ktk tafuta kwa muda mrefu (coz haku save jina, sms zinafutwa, so ikawa ngumu kdgo, cwezi kucal kila rec calls) nikawa nakuta sms's za mamake, "mwanangu unaendeleaje/kama unaona vipi chukua likizo uje upumzike kdgo etc"...hakujali usuluhu bali alijali maendeleo ya mwanae...( Asprin nimekusoma kdgo kwenye thread fulani, wewe jua mtoto na ***** cku zote)...hili game bila ugumu utabakia skeleton, wengine kwa ugumu ndio hips zinaongezeka...lol
so my dear...haya matatizo cjui ya kununiwa,cjui kasusa kula ni wengine 2nayaona ya kawaida sana...
so my dear...haya matatizo cjui ya kununiwa,cjui kasusa kula ni wengine 2nayaona ya kawaida sana...
Yaani Babu una degree ya chuo cha Ustawi ilhali ramani ya nchi yako huijui!!!Kabla sijamwaga mapointi yangu yaliyonifanya kutunukiwa digrii ya heshima na chuo cha ustawi wa jamii,
Naomba kwanza kuuliza:
Eti "mood" ni mkoa ulioko bara au visiwani?
dena nadhani kuna jambo ambalo linaweza kuwa linamsumbua au kumsuta hivyo anashindwa kujiamini na kuongea na wewe.. mara wanaume kuna maaamuzi wanaweza kuyafanya nje ya mipango yake na mkewe na akajikuta amepata hasara au ameharibu sasa anakosa ujasiri wa kukuelewesha hivyo anakuwa na hasira na tabia za ajabu ajabu kama ukaidi na kiburi.
cha kufanya, kuna mambo au vitu ambavyo huwa vinamfanya awe na furaha jaribu kumfanyia kama chakula au movie au vipindi kwenye TV.. naamini kwa muda ulioishi nae utakuwa unamwelewa ni wakati gani ana furaha , huzuni, mawazo, nk .. hivyo nenda nae taratibu maana anaweza akakugeuzia wewe kibao kama ndo tatizo
Kama yupo tuu down mpotezee kwa muda. Wala usihangaike kujaribu kurudisha mood yake. Huu ni wakati wa wewe kwenda shopping sio kumbembeleza. Kama ni moods tuu na hakuna kingine zaidi he will come back. Ndio wanaume walivyo. Kumbuka while women are from Venus, men are from Mars.
ODM hua unaanzia mbali sana..lolKabla sijamwaga mapointi yangu yaliyonifanya kutunukiwa digrii ya heshima na chuo cha ustawi wa jamii,
Naomba kwanza kuuliza:
Eti "mood" ni mkoa ulioko bara au visiwani?
Yaani Babu una degree ya chuo cha Ustawi ilhali ramani ya nchi yako huijui!!!
Samahani kwa kuchakachua sredi.........Aspriniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Dah.......hapo kwenye red nyamayao unabaki kujiuliza hivi ananisemaje kwa mama! Maana mpaka aambiwe aje apumzike ndo kusema mke umeshindwa kumpumzisha eh. Kaazi kweli kweli
Bi dada hapo kwenye blue nimecheka hadi machozi!! mwe mie nilikondaje halafu anapita barabarani akinisema kwa wenzie eti nina ukimwi jamani!! Asa nkiwa nao mie, yeye ndo mzima?! Ila nimemsamehe kutoka rohoni kwani hakuwa anajitambua na bahati yake mbaya kuwa ndo nshakuwa Ex.
Mweleze da mkubwa maana naona Dena anaumia haswa!
dena jambo jingine inawezekana kuna jambo ambalo unamkera au linafanyika hapo nyumbani na anashindwa aanzeje kulisema labda linaweza kukukera au likaleta kutokuelewana zaidi hivyo anajenga chuki juu yako.. cha kufanya kama nawe unaogopa kukaa nae na kuongea tumia watoto au unaweza kupanga out moja kwa ajili ya mazungumzo nje ya nyumbani .. but usimweleze yeye anakukosea nini ila jaribu kumwelezea malengo na maisha ya mbele au kuwa na plan fulani ambayo ataona ni ya maendeleo kwake