Mwanaume Hana Moods

Finest....wacha tu, m2 mzima na akili zake unajaribu kumbembeleza akueleze tabu k2 gani, ndio kwanza anakwambia wewe niache!...khaaa nilimuacha ukweli mpaka alivyojickia kuongea aliongea, hapa Dena labda aseme kulikuwa na mikwaruzano nitamuelewa, kweli maisha yana shughuli haya, mikiki mikiki kibaooo.

hata wewe umeonekana dada,
kweli hili limekugusa.
 
Unakaa mbali na mumeo! vije? na kitanda mwashare!!! Asikwambie mtu faisbuk ni ngumu sana aisee na ndio maana Dena anateseka. Ni ngumu hasa kama ni mtu usiyeweza kucharuka kama nyamayao lol (Da mkubwa hapa sijasema kwa ubaya nisamehe). Ninavyomchukulia nyamayao ni yule asotake ujinga wa kitoto, yaani eti msukuma wake kaamka tu kanuna, anakesha kanuna ni wazi nyamayao atamwuliza kisa na mkasa na asipotoa jibu kama namwona nyamayao anampandisha na kumshusha kisha anamwambia live, ukimaliza huo mgomo wako utanikuta grosare kwa Mama Kiruu na kitochi cha mbege.

hahahahha MJ1, khaaa..nimecheka sana!....ucnikumbushe ya juzi kati hapo, MJ1 inakera bwana asubuhi mmeondoka vzr jioni mchuno, ukiuliza hujibiwi, na mie nagoma, akionaga umezidi atatoa lililopo moyoni, kumfikiria m2 mzima ni pressure ati.
 
Lol nisamehe mwaya yaani hapa leo Dena kanigusa, ni pressure hata si urongo unajikuta tu unakaa ndani mwako ka muuza gongo anayeogopa mgambo. Maana hujui umemfanya nini au kama si wewe ni nani phweee. Mie wangu alikuwa akikorofishwa na wateja wake huko kwenye kibanda chake cha chips, moto unaniwakia mimi na bahati mbaya hata ukimwuliza anaona aibu kusema si wewe matokeo yake anaanza kukutafutia makosa....hukawii kusikia kwa nini unanyoosha nguo asubuhi!!....eti hilo ndo linalomnunisha!
Afu ukisema ugome na wewe maana si kagoma, kibao kinageuzwa kosa linakuwa kwa nini umenikasirikia khaa ...kwa kweli nilikuwa nachoka sana mwenzenu.
 
Lol! Toka alfajiri nilitaka kusena hii nikazuia vidole vyangu. Wazee wa infii,hivi ukiwa umekwazwa na small house unaomba ushauri kwa wife ama unagugumia? Ngojka nikamsake bishanga kwanza
Huyu amepagawishwa na nyumba ya kati
 
Dena umeituma kwa posta au DHL maana naona haifiki hiyo PM yako na mie kwa umbeya hata situlii hadi ifike lol
Cheka kidogo bana ni vijimambo tu hivi vitaisha eh! Na ukiona hivyo anavyonuna nuna halafu haleti ukorofi jua deep down ya moyo wake bado anakupenda.

Si unajua tena bana na wewe
 
Finest....wacha tu, m2 mzima na akili zake unajaribu kumbembeleza akueleze tabu k2 gani, ndio kwanza anakwambia wewe niache!...khaaa nilimuacha ukweli mpaka alivyojickia kuongea aliongea, hapa Dena labda aseme kulikuwa na mikwaruzano nitamuelewa, kweli maisha yana shughuli haya, mikiki mikiki kibaooo.

Ndio maana nisipokuona nakosa amani rohoni mwangu thanx
 
ni rahisi sana...nenda chumbani kwenu badili jinsi kitanda kilivyokaa...kiweke ki namna nyingine .....mpikie chakula chake kikuu akipendacho nenda sokoni nunua mastafeli na chukua karoti uimenye vizuri na kuikata kata vipande muwekee kwenye kisosi weka umma hapo mkaribishe ale, stafeli ale baadaya kula chakula......sitting room badilisha vitambaa na mapazia na ikibidi badilisha jinsi viti na vitu vilivyokaa hapo sebuleni....kisha tulia tu na usiseme kitu...kama hayupo sasa hivi akirudi na kukuta mabadiliko ya ndani ya nyumba basi utamuona anatabasamu na usiku ikifika mpe mamboz na muwahi kulala.....na baada ya hapo tatueni ugomvi au tofauti zilizopo kabla jua alijachomoza....

we dena mpaka leo hujui vionjo vya mwenzi wako na jinsi ya kudela navyo??

Edson acha tu mambo haya nitakwambia tukionana
 
Lol afu usipoteege msanake nakumisigi bhange zako

hahahahha MJ1, khaaa..nimecheka sana!....ucnikumbushe ya juzi kati hapo, MJ1 inakera bwana asubuhi mmeondoka vzr jioni mchuno, ukiuliza hujibiwi, na mie nagoma, akionaga umezidi atatoa lililopo moyoni, kumfikiria m2 mzima ni pressure ati.
 
Lol nisamehe mwaya yaani hapa leo Dena kanigusa, ni pressure hata si urongo unajikuta tu unakaa ndani mwako ka muuza gongo anayeogopa mgambo. Maana hujui umemfanya nini au kama si wewe ni nani phweee. Mie wangu alikuwa akikorofishwa na wateja wake huko kwenye kibanda chake cha chips, moto unaniwakia mimi na bahati mbaya hata ukimwuliza anaona aibu kusema si wewe matokeo yake anaanza kukutafutia makosa....hukawii kusikia kwa nini unanyoosha nguo asubuhi!!....eti hilo ndo linalomnunisha!
Afu ukisema ugome na wewe maana si kagoma, kibao kinageuzwa kosa linakuwa kwa nini umenikasirikia khaa ...kwa kweli nilikuwa nachoka sana mwenzenu.

Bwana weee acha tu hawa viumbe hawabebeki kwamwe (sio wote lakini)
 
Lol nisamehe mwaya yaani hapa leo Dena kanigusa, ni pressure hata si urongo unajikuta tu unakaa ndani mwako ka muuza gongo anayeogopa mgambo. Maana hujui umemfanya nini au kama si wewe ni nani phweee. Mie wangu alikuwa akikorofishwa na wateja wake huko kwenye kibanda chake cha chips, moto unaniwakia mimi na bahati mbaya hata ukimwuliza anaona aibu kusema si wewe matokeo yake anaanza kukutafutia makosa....hukawii kusikia kwa nini unanyoosha nguo asubuhi!!....eti hilo ndo linalomnunisha!
Afu ukisema ugome na wewe maana si kagoma, kibao kinageuzwa kosa linakuwa kwa nini umenikasirikia khaa
...kwa kweli nilikuwa nachoka sana mwenzenu.

kuna wakati nakufukuriaga mpaka nasema may b haikuwa akili yako(upendo/mapenzi ulikufunika macho/mackio)...kuna wanaume wanapata wanawake jamani, MJ1 huyu wako atakukumbuka sana sana 2, khaaa, aisee! huko aliko nahic anatamani cku zirudi nyuma sema ndio hivyo tena, huko mbeleni natamani akutane na kina Nyamayao, hivi wewe ungeweza kurudiwa asubuhi mfululizo bila kuuliza na anakuta umemuandalia kila kifaacho kwa ofc na maisha yanasonga na roho hainish2ki? (nilifanya 2 kutoa taarifa kwao kwamba huyu binadamu cku hizi alali home so kikitokea cha kutokea tutashirikiana kulipokea) hakuna cha kuuliza upo wapi?/utarudi?/umetoka wapi?....akajiuliza huyu m2 hana habari na mie tena nn? wacha bwana wa2 2mepitia aisee, nashukurugi kwa hii roho niliyonayo.....
 
che

Hahahahahaha nyamayao bwana, loh nadhani alinionea tu kwa kuwa nilikuwa mdogo sana kwake loh ........Haya mambo haya bana yaacheni kabisa, leo hii ananiona wa maana na simu anajipigisha, mie limoyo lishakufa ganzi na nimeshakutana na makina nyamayao, nyumba kubwa, Ashadii yamenikomazaje? yamenifundisha maujeuri yooote yaani sifai tena kuwa mke mwenzenu loh niachenigi tu ahahahahahah.

Umenichekesha hapo pa kutoa taarifa we mwanamke umepinda aisee! leo nimecheka sana humu ndani sina uhakika nimeongeza siku ngapi za kuishi duniani aisee. Dah
 
Lol afu usipoteege msanake nakumisigi bhange zako

majukumu 2 swir wangu.....hahahaha wacha 2, kama ha2kuachana kile kipindi bac cjui 2taachanaje aisee...yeye alikuwa akipata prblms kwao anani2mia msg kuna hiki na hiki home hebu fuatilia, hata kujibu msg cjibu achia mbali kufatilia, kwani mama yake amefatilia prblms zangu kuanzia nilivyomueleza hata kuni2mia msg ya kuniuliza mnaendeleaje hakuna, y mie niijichokee na ya wa2 wkt nina ya kwangu rundo?..mie nikipata prblms kwe2 huyoooo safari nikifika 2 ntaambiwa na mama wa2 hawaishi hivyo mwenzio anakuulizia uwe una mpa taarifa za matatizo bac, waiii ninao huo muda sasa?.....
 
kuna wakati nakufukuriaga mpaka nasema may b haikuwa akili yako(upendo/mapenzi ulikufunika macho/mackio)...kuna wanaume wanapata wanawake jamani, MJ1 huyu wako atakukumbuka sana sana 2, khaaa, aisee! huko aliko nahic anatamani cku zirudi nyuma sema ndio hivyo tena, huko mbeleni natamani akutane na kina Nyamayao, hivi wewe ungeweza kurudiwa asubuhi mfululizo bila kuuliza na anakuta umemuandalia kila kifaacho kwa ofc na maisha yanasonga na roho hainish2ki? (nilifanya 2 kutoa taarifa kwao kwamba huyu binadamu cku hizi alali home so kikitokea cha kutokea tutashirikiana kulipokea) hakuna cha kuuliza upo wapi?/utarudi?/umetoka wapi?....akajiuliza huyu m2 hana habari na mie tena nn? wacha bwana wa2 2mepitia aisee, nashukurugi kwa hii roho niliyonayo.....

Umemaliza kila kitu..................
 
Lol! Toka alfajiri nilitaka kusena hii nikazuia vidole vyangu. Wazee wa infii,hivi ukiwa umekwazwa na small house unaomba ushauri kwa wife ama unagugumia? Ngojka nikamsake bishanga kwanza

Dah King'asti umeua mazimaaaaa
 
che

Hahahahahaha nyamayao bwana, loh nadhani alinionea tu kwa kuwa nilikuwa mdogo sana kwake loh ........Haya mambo haya bana yaacheni kabisa, leo hii ananiona wa maana na simu anajipigisha, mie limoyo lishakufa ganzi na nimeshakutana na makina nyamayao, nyumba kubwa, Ashadii yamenikomazaje? yamenifundisha maujeuri yooote yaani sifai tena kuwa mke mwenzenu loh niachenigi tu ahahahahahah.

Umenichekesha hapo pa kutoa taarifa we mwanamke umepinda aisee! leo nimecheka sana humu ndani sina uhakika nimeongeza siku ngapi za kuishi duniani aisee. Dah

ndio swir....imagine huko kikatokea k2 kibaya cjasema lolote kwa family yake, c itakula kwangu?...mtoto kwa mama hakui milele, kuna wkt nilikuwa napekua cm yake kutafuta no ya mdada niliyoambiwa ndio anakula nae gud tym cku hizi, ktk tafuta kwa muda mrefu (coz haku save jina, sms zinafutwa, so ikawa ngumu kdgo, cwezi kucal kila rec calls) nikawa nakuta sms's za mamake, "mwanangu unaendeleaje/kama unaona vipi chukua likizo uje upumzike kdgo etc"...hakujali usuluhu bali alijali maendeleo ya mwanae...( Asprin nimekusoma kdgo kwenye thread fulani, wewe jua mtoto na ***** cku zote)...hili game bila ugumu utabakia skeleton, wengine kwa ugumu ndio hips zinaongezeka...lol
 
Back
Top Bottom