KijikoYajiko
Senior Member
- May 8, 2012
- 106
- 19
The problem of most men is being too much relaxed!! Wanachukulia easy sana issue ya kucare. Wengi hawasikilizi mahitaji ya watoto wao, mara nyingi wanaachia wamama kusikiliza hisia za watoto. And this is why watoto wengi hukua na inbuilt sense of mother care more than that of father. Believe me or not mama anapendwa zaidi na watoto kuliko ilivyo kwa baba. Naweza sema wanakuwa na great care watoto wanaolelewa na mother peke yake kuliko aliyekua na baba peke yake.