Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 15,718
- 33,895
siri ya nn oooh mapenzi ya siri 😥😥
aiseee!! nimeukumbuka ule wimbo wake wa kifoHii ndio Taarifa iliyotufikia hivi punde , na kwamba Mzee Hussein Jumbe amefikwa na umauti katika Hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam leo 10/4/2023
Enzi za Uhai wake aliwahi kutumikia bendi za DDC MLIMANI PARK na MSONDO NGOMA
Aliwahi kutamba na Kibao chake cha "Nachechemea"
Apumzike kwa Amani .
Huyu hapaRip weka picha Mkuu
RIP fundi