LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,199
Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii


-------
Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika Hospitali ya Amana, alipokuwa akipatiwa Matibabu

Mzee Jumbe maarufu 'Mzee wa Dodo' alitamba kwa nyimbo kali alizowahi kuandika ikiwemo 'Nachechemea' na amewahi kuwa katika bendi za Tabora Jazz, Mara Jazz, Urafiki Jazz, DDC Mliman Park ‘Sikinde’ na TOT Band, Juwata Jazz na Mikumi Sound

Jumbe.jpg
 
Jamaa kazushiwa sana kifo, hata hii taarifa siiamini. Ngoja jioni nipite maeneo ya nyumbani kwake Temeke veternary karibia na kwa muhindi nithibitishe
Sisi ndio majirani zake simu imepigwa kutona Hispitali amana na Ndugu zake wakithibitisha kuwa amefariki kweli
 
Back
Top Bottom