Mwanamke wa kirangi

Status
Not open for further replies.
Du ndugu yangu naona unataka kujitia kitanzi kabla ya wakati wako,hawa warangi hawafai kabisa si wanawake wala wanaume,nina rafiki yangu alioa mrangi, akaja mjomba wake kumtembelea jamaa kwenda kazini kumbe mjomba anakula uroda huku nyuma kila siku,siku ya siku bahati mbaya jamaa kurudi nyumbani mapema ,anakuta mjomba yuko juu anakula vitu ni noma.jamaa taraka hapo hapo
 
Mungu wangu usijaribu hata kidogo utajuta kwenye ndoa yako yan hata kama umepanga lazima baba mwenye house atakula, vijana mtaan watakula, marafiki zako watakula, mpaka house boy atakula nakueleza sina hamu nao kabisa
Hawa wanawake wa kirangi wanapatikana sehemu gani pale Singida? Umenisisimua sana kwa maelezo yako mkuu
 
hakika m siku nikimpata mrangi simwachi, naoa ila kungalia maana naju uhuni siyo tatizo la kikabila bali la mtu mwenyewe...ikitokea akawa kicheche basi ntamwaga manynga ila sitahukumu kabila lote..nitajua ni tabia ya mtu niliyechukua...

unajua shughuli ya kuwa na watoto wenye mama tofauti tofauti..?
 
Du ndugu yangu naona unataka kujitia kitanzi kabla ya wakati wako,hawa warangi hawafai kabisa si wanawake wala wanaume,nina rafiki yangu alioa mrangi, akaja mjomba wake kumtembelea jamaa kwenda kazini kumbe mjomba anakula uroda huku nyuma kila siku,siku ya siku bahati mbaya jamaa kurudi nyumbani mapema ,anakuta mjomba yuko juu anakula vitu ni noma.jamaa taraka hapo hapo
mh! huyo kweli alioa kicheche! mpaka mjomba mtu? sasa unamaanisha mjomba wake demu au au mjomba wake jamaa? hebu fafanua tukuelewe...
 
Sikiliza mkuu, Tabia za watu huwezi kuzigeneralise kwa makabila, kwani tabia zzipo za kila aina ktk kila kabila, mm sidhani kigezo hapa kama ni kabila, issue ni tabia ya mtu, na unachotakiwa kufanya ni kumchunguza mhusika mazingira anapoishi, tabia yake na maadili ya familia alikotoka kwa wazazi wake , hiyo itakupa picha kamili. nimetembea sehemu tofautix2 ktk tanzania na hata nje na tz, kitu ambacho naweza kukuambia hakuna mwanamke ambaye ni perfect, mwanamke ili akuvulie chupi ni lazima kwanza ajiashue secrecy ya kutosha, awe huru na wewe, na ajisikie secure na wewe, hayo tu kwa mwanamke yeyote duniani hata mtoto wa obama unaweza chukua. tunachojali hapa ni yale maadili ambayo mtu binafsi anakuwa naye regardless of kabila, dini au chochote kile, kwa hiyo maadili kwanza.

I like this. I was about to write something similar to this.
 
Huko kwingine sipaongelei ila kuna haya,
1.Ukimwoa yeye ukoo wooote ni wako,
2.Wanaamini sana mambo ya mila kama wenyeji wa Kule waja leo waondoka leo(sorry)
3.Ni swala 5 kama ni mwislam ila kama sio sijajua
4.Adabu tu umepata.

Ni kweli wengi wao kama ni wa-Islam huwa ni swala 5 na kama ni wa-Kristo wengi wao ni lazima kusali sala tatu mahala popote zitakapowakutia.
Nilishawahi kuishi Kondoa Irangi wao hawana mila na desturi kama makabila mengine, wao wanatumia sheria za dini kwenye ku-solve utata.
Tatizo ni wakarimu mno sio tu kwenye chupi hata ukiwaomba wakusaidie kwenye shughuli yeyote ambayo ipo ndani ya uwezo wao(sio pesa).
 
Du ndugu yangu naona unataka kujitia kitanzi kabla ya wakati wako,hawa warangi hawafai kabisa si wanawake wala wanaume,nina rafiki yangu alioa mrangi, akaja mjomba wake kumtembelea jamaa kwenda kazini kumbe mjomba anakula uroda huku nyuma kila siku,siku ya siku bahati mbaya jamaa kurudi nyumbani mapema ,anakuta mjomba yuko juu anakula vitu ni noma.jamaa taraka hapo hapo

Hii ya mjomba nimeishuhudia kwa makabila mengi tu, including warangi sasa sijui na hayo makabila mengine tusioe au inakuaje.
Nimeishi 90% ya Tanzania yote na kati yake 80% wanawake wa sehemu nilizoishi wana tabia hizohizo. Nilikuwa napatwa na kizunguzungu kila nikifikiria kuoa kutokana na mambo niliyoshuhudia mwenyewe bila kuhadithiwa.
Kwa mtu aliyejichanganya sehemu kubwa ya Tz ukimuuliza wanawake wa wapi ni watulivu, anaweza akashindwa kupata jibu. Kwa yule ambae hajajichanganya ataishia kusema warangi, wanyiramba wapare ndio hawafai. Lakini ukimuuliza kwa mfano wapogoro ni vipi? atasema poa ilihali hawajui.
 
mungu wangu usijaribu hata kidogo utajuta kwenye ndoa yako yan hata kama umepanga lazima baba mwenye house atakula, vijana mtaan watakula, marafiki zako watakula, mpaka house boy atakula nakueleza sina hamu nao kabisa

mbona ujamaa ni jambo zuri tu!
 
nakuunga mkono kabisa, kama umetembea mikoa mbalimbali utaona jinsi gani ilivyokuwa ngumu kumwamini mwanamke. nilishakaa lindi na mtwara nikawa naona jinsi wake za watu wanavyotafunwa, ukigusa tu hakatai. hata morogoro, songea, bukoba, mwanza hali ikuwa sawasawa tu! hivyo suala ni kuomba mungu akuepusha kuokota kicheche!

Back
Top Bottom