davyventure the great
Senior Member
- Dec 2, 2023
- 131
- 184
Ndugu zangu Mimi na division 1 8 mwaka wa masome 2023/24 nilikosa chuo nampango wa kuapply mwakani je niaaply kozi gan za afya ambazo zitanisaidie katika maisha pia niapply vyuo gan ambavyo naweza kupata nafasi