Mwanamke wa kirangi

Status
Not open for further replies.
aah!! acheni bana, sasa kama ugongi sawasawa yeye afanyaje. Labda niulize tu swali la nyongeza- huwa ni watamu???
 
Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu

Kwanini hukuomba ushauri wakati unamtongoza au ulikuwa unatania sasa umeona huna option ya mwingine unaamua uoe???
umekaa nae uchumba au as lovers kwa mda gani?
 
Kama mnapendana kwa dhati muoe bwana, hizo ni tabia tu ambazo kila mtu anaweza akawa nazo..............
 
Kwanini hukuomba ushauri wakati unamtongoza au ulikuwa unatania sasa umeona huna option ya mwingine unaamua uoe???
umekaa nae uchumba au as lovers kwa mda gani?
huyo kakolea tu ila anajifanya kuja hapa kuuliza eti ashauriwe
 
hakika m siku nikimpata mrangi simwachi, naoa ila kungalia maana naju uhuni siyo tatizo la kikabila bali la mtu mwenyewe...ikitokea akawa kicheche basi ntamwaga manynga ila sitahukumu kabila lote..nitajua ni tabia ya mtu niliyechukua...
 
Hiyo kitu nilikuwa naitafuta balaa ila sijafanikiwa hongera bana
wengine wanasema ni rahisi kuwapata halafu wewe unasema unawatafuta huwapati...nenda baharini kaoge maji ya chumvi..huenda huna bahati kwa mujibu wa waliowahi kuwatafuna...
 
Asanteni sana kwa mawazo yenu mazuri pamoja na muda wa kufikilia natumain mlitumia hekima na busala zenu katika kuchangia hoja pia nami nafalijika sana mana najua nina ndg wengi sina cha kuwalipa zaidi ya kuwa tuzidishe mshikamano pamoja tutalijenga taifa.mpaka hapo najua njia sahii ya kuelekea
 
Kwanini hukuomba ushauri wakati unamtongoza au ulikuwa unatania sasa umeona huna option ya mwingine unaamua uoe???
umekaa nae uchumba au as lovers kwa mda gani?

Hapana mkubwa sema nilivutiwa tu na juhudi zao katika kazi wala sikuwa na mahusiano na mwanamke yoyote wa kirangi ila nilikuwa nataka nikaoe huko ndo nikaona kwanza nipate nafasi ya kuwafahamu angalau hata chembe tu
 
Asanteni sana kwa mawazo yenu mazuri pamoja na muda wa kufikilia natumain mlitumia hekima na busala zenu katika kuchangia hoja pia nami nafalijika sana mana najua nina ndg wengi sina cha kuwalipa zaidi ya kuwa tuzidishe mshikamano pamoja tutalijenga taifa.mpaka hapo najua njia sahii ya kuelekea
 
Dah
Mkuu mwanamke wa kirangi ukioa jua autakua peke yako..ipo ndani yao kutembea ovyo ovyo ..wazuriii na langi zao ila wepesi wakukubali ao
 
mh..kwa hiyo unashauri mtu asioe kabisa demu wa kirangi? hebu fafanua zaidi inakuwaje wanakuwa wepesi kukubali, wanataka/wanapenda sana hela?
 
nitakuomba ufanye experiment mwenyewe
labda mie sikubahatika....:eyebrows:
 
nitakuomba ufanye experiment mwenyewe
labda mie sikubahatika....:eyebrows:
ina maana uliyekuwa umempata alikuwa kicheche? yaani alidhihirsha haya wanyowatuhumu hapa jamvini hawa mademu wa kirangi? heb fafanua tukuelewe kabisa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom