Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?

Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?

Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto

Labda kama unapasha tu !!!

Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!

Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!

Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
 
Wajinga sana, mabinti wabichi wapo ila mtu anangangania wapigania uhuru tena aliyezalishwa
Fatilia watu wote wakubwa na waliofanikiwa ndoa zao

Except Mkapa tu na yeye ni vile hakuwa na mbegu

Ila the rest walioa fresh girl wabichi kabisa.

Ni utoto sana kuingia kwenye ndoa na demu kashafumuliwa malinda yote hana duh so sad!!!
 
Wajinga sana, mabinti wabichi wapo ila mtu anangangania wapigania uhuru tena aliyezalishwa

Duh! wewe jamaa unapata dhambi ujue.

Kuna wengine hawakutaka ilikuwa shetani tu kawapoteza ndio wakaishia kuwa na watoto, wengine wameteleza lakini ni ma-waifu matirio kabisa.
Na kingine wanakuwa mamejufunza mengi ya kimaisha kwahiyo ukibahatika ukampata alietulia utafika nae mbali sana.

Unawaita 'wapigania uhuru' sawa ng'ang'ania hao 'wanamageuzi' wako.
 
Mkuu siyo tu ataacha, bali ataoa mwenye watoto wanne. Waswahili walisema kua uyaone.
Nina mke tayari nilioa 2015 akiwa mbichi kabisa tuna watoto wawili

Nimekuja kushauri kwa sababu ndugu zangu na washikaji zangu baadhi wana changamoto hii na naona migogoro ya wake zao huu ni usumbufu

Tukifanya hivyo wote tatizo litaisha wadada wataogopa kuzalishwa ovyo kama kuku!!
 
Haijalishi. Kuoa 2015 hakumaanishi ''umekua''. Subiri tu kuna siku utajua namaanisha nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom