Mwanamke wa kirangi

Status
Not open for further replies.
Why do we close our Eyes
When we Pray
When we Cry
When we Dream
When we Kiss
Because the Most BEAUTIFUL thing in life are not seen.
But felt by the heart!

kumbuka
huoi kabila unamuoa huyo unaemuoa ........

Nambe,i am in love with your poetic way of commenting!
 
wanawake wakirangi na wambulu,chupi zao ziko magotini...ukitongoza mwanamke wakabila hizo hakikukataa,kaogee na maji ya bahari.

i wanted to ignore, ila nikajiuliza, wapi umekulia, na lipi ulilojifunza toka kwa wazazi wako?? nadhani hakuna..... kwa standard ya sasa ya mixed societies within tanzania; kila mtu ana tabia za popote alipo, waliomzunguka na mapendo yake tu

you have just undressed your ignorance halafu wewe ni mchagga, labda upitie threads za makabila uone nani anasemwaje

pole sana mkuu, upumbavu hauna ujazo
 
Kama ungekuwa unampenda huyo Mwanamke ukabilia usingejitokeza, kwasababu hiyo siyo SABABU kabisa kwa mtu unayempenda. By the way wewe ni mkabilia nakushauri uoe wa kabila lako kwa kuwa unawajua vizuri...
 
nope, most of them ni quote za watu tu.........

huwa napenda kuzisoma coz napenda mashairi..........

zinanisaidia mm so nawapostia wengine ambao naamin wanazihitaj pia.......

ok,ok,ok!so una likitabu likuuuuubwa la poem,ukisoma post unatafuta majibu husika ktk likitabu lako?
dah,hapa tunaharibu li-thread la kirangi hebu twende pm tukajifiche tuongee kwa utulivu
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,

yaan umenchekesha balaa......

k, acha ni ku pm tusichakachue uzi wa kirangi lol

QUOTE=Mc Tilly Chizenga;4536407]ok,ok,ok!so una likitabu likuuuuubwa la poem,ukisoma post unatafuta majibu husika ktk likitabu lako?
dah,hapa tunaharibu li-thread la kirangi hebu twende pm tukajifiche tuongee kwa utulivu[/QUOTE]
 
Mwanamke wa kirangi ni watamu sana halafu wana maadili usipime. Achilia mbali few notorious in all tribes
 
Katika vitu vyote ulivyofuatilia kwa huyo dada hukujua chochote zaidi ya kabila?? yaani cha kwanza kuulizia ilikuwa kabila lake? Tunalaumu ukabila nchi hii wakati cc wenyewe tunauendekeza!! We kama umempenda dada angalia tabia zake mpeleleze kwa makini kama utaridhika naye chukua mzigo, lakini sio kujudge kwa kabila lake utaangukia pua!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom