Mwanamke wa kirangi

Status
Not open for further replies.
Mkuu mimi huko urangini nimeshakaa kama miaka 3 hivi,nilichogundua kuhusu wanawake hao ni kuwa watulivu sana kwa muonekano anapokuwa na mtu,tatizo anapogundua kuwa kuna mtu anamtaka kimapenzi huwa ni wagumu sana kusema neno haiwezekani,flirting mitaa ile muheshimiwa ni nje-nje,ninacho wasifu ni wa siri sana,anapokuwa na afair ya nje ya mahusiano hamwambii hata rafikiye wa karibu,kwahiyo leakage huwa ni almost impossible labda siku iwe imefika litokee fumanizi.
 
Imeniuma jamani acheni mie ni chotara wa hayo makabila lakini mbona niko tofauti? Sina wengi sana Nimejaza Dar Express Moja tu na wengine wamesisima halafu kwetu mie ndo mtulivu.
 
Kama unatumia kigezo cha kabila hao umeletea vijana wa mtaa neema,halafu hajakeketwa kweli huyo?
 
kwanza kuja humu kumba ushauri wa nani wa kumuoa kwa kigezo cha kabila lake bado ni kuonyesha mapungufu yake, ina maana yeye ameshindwa kutambua mtu anayemfaa mpaka aje humu kuomba ushauri tena wa ikabila? bado tuna safari ndefu sana...
Kama ungekuwa unampenda huyo Mwanamke ukabilia usingejitokeza, kwasababu hiyo siyo SABABU kabisa kwa mtu unayempenda. By the way wewe ni mkabilia nakushauri uoe wa kabila lako kwa kuwa unawajua vizuri...
 
Nisikize Mimi Eric,Hao wadada wa kirangi achana nao fuata ushauri wa zamlock,99% si waaminifu hawaoni hasara kutembea na houseboy,hawaoni hasara kutembea na babamkwe!! Nina mifano hai kibao hao watu usijaribu kabisa lazima watakutafunia tu wavulana wa kitaa biliv dat.

kweli ndugu yangu kuna kaka yangu alioa mdada wa kabila hyo ile nyumba alopanga karibu masela wote walimpitia hila kwa uzuri wa sura,umbo mungu kawajaalia hla ndo hawawezi kusema hapana
 
kweli ndugu yangu kuna kaka yangu alioa mdada wa kabila hyo ile nyumba alopanga karibu masela wote walimpitia hila kwa uzuri wa sura,umbo mungu kawajaalia hla ndo hawawezi kusema hapana
huyo alioa changu, hakuwa mke...hata makabila mengine mbona wanamegwa tu...
 
Hapa changanya na za kwako aisee..
Huu sio ushauri ila ni nguvu za giza...

Huu kweli Ushauri wa Nguvu za giza!! Eti Uanzishe Thread ya Kumuulizia Mwigulu Umuulize kuhusu wanawake wa Kirangi..teh teh teh teh teh
 
Imeniuma jamani acheni mie ni chotara wa hayo makabila lakini mbona niko tofauti? Sina wengi sana Nimejaza Dar Express Moja tu na wengine wamesisima halafu kwetu mie ndo mtulivu.
Punguzeni Kashfa... wana Bodi Tabia hizi ni za kitanzania basi kila kabila lina watu wenye Tabia zote Mzisemazo... Nyie Mnatumia Umaskini wa Mtu mmoja mmoja kudharilisha Kabila zima huu ni Upumbavu wa Wana Jf wengi... Mods ningeomba awe anatoa na Ban ndefu kwa Watu wanaokashifu Makabila ya Wenzao
 
nenda dom waambie nimemfuata mchumba wangu chamwino-kisha zingatia maswali utakayoulizwa
 
nenda dom waambie nimemfuata mchumba wangu chamwino-kisha zingatia maswali utakayoulizwa

Nani anataka kuoa Wagogo? Maswali najua yatakuwa yanayohusiana na Usafi kwao usafi hauzingatiwi wa kimwili na mazingira pia... Wagogo wanachezeana wenyewe kwa wenyewe nenda Kibaigwa ndio Utajua kama ni watulivu au lah ila usije kimbia tu... hizi Tabia zina endana na umasikini wa Mtu
 
Punguzeni Kashfa... wana Bodi Tabia hizi ni za kitanzania basi kila kabila lina watu wenye Tabia zote Mzisemazo... Nyie Mnatumia Umaskini wa Mtu mmoja mmoja kudharilisha Kabila zima huu ni Upumbavu wa Wana Jf wengi... Mods ningeomba awe anatoa na Ban ndefu kwa Watu wanaokashifu Makabila ya Wenzao

Mi-sioni tatizo kuulizia usichojua ili ueleweshwe,wana JF hatuko hapa kukashifiana bali tunatoa michango ya kile tunachokijua,ni swala la muanzisha thread kukubaliana au kutokubaliana na michango ya wana JF ambao nina uhakika kuwa hatuko hapa kuharibiana bali kujengana kama jamii.
 
Nyingi humu zimekuwa ni Kashfa Wewe si umesoma humu ati mwanamke wa kabila hilo akikukatalia basi uende ukaoge maji ya baharini? kueleweshana ndio kupo ila kashfa zisiwe too much...
 
Ukabila tz tuupige vita. Kama ni tabia ya mtu utarekebisha tu ingawa bata ni bata tu hata umpe mkate na unga mkavu ataharisha tu.
 
kaka fanya maamuzi jinsi akili inavyokutuma ila wasichana hao mh... Tayari nilishawahi kumpata mchumba mrangi ni wazuri sana weupe wana maumbo mazuri kweli wamejaliwa tatizo ndio hizo tabia tu
 
kaka fanya maamuzi jinsi akili inavyokutuma ila wasichana hao mh... Tayari nilishawahi kumpata mchumba mrangi ni wazuri sana weupe wana maumbo mazuri kweli wamejaliwa tatizo ndio hizo tabia tu
unajua umeishia hewani bila kumalizia..umesema ulipata mchumba, ina maana hukuoa? kama ulioa ilikuwaje? kama hukuoa ni kwa nini?..hapo kwenye mh..mchumba wako alikuwaje mpaka ukafikia kusema mh?...
 
Sio kashfa fikiria kama wewe baba yako na mama yako ni wamakabila hayo ukiwaambia watu kuwa wewe huna tabia hizo nani atakuamini? Ni bora uwaambie kwamba umeshindikana wakati mwenyewe unajijua ulivyo.
 
halafu umesema wewe ni chotara wa hayo makabila ya kirang, naomba uwe wifi yangu ili nione kama kaka yangu ataibiwa kama wengine wnavyojaribu kutuaminisha humu...unaonaje? ili tuwathibishie kuwa siyo ukweli....
 
Hiyo sio kashfa Duduwasha ni kweli kuna tabia hizo kwenye hayo makabila, lakini hutaweza kujitetea kwa yeyote akakuelewa kama wewe ukijikuta umezaliwa katika hayo makabila.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom