Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Umeniita? Labeka!

Hehehe... mi sijashindwa kutongoza bana. Nshatongoza siku nyingi niliyepaswa kumtongoza. Na ameshatongozeka na akakubali kutongozeka. Yupo kajikalia nyumbani, nikitaka nagusa bega tu.

Ndio nimekuita shem.... Hebu msome huyu hapa chini..... lol

BTW Hapo unajifariji?? Ule msimamo wako wa Kuendeleza utamaduni uko wapi? Au ndio ile ya Sungura hazifai hizi ni mbichi? lol

Umechanganyikiwa....!

Scofield kidogo nikusahau....lol... Say something on the topic, achana na this crazy shem of mine.
 
Ukiwa old bado watongozwa tongozwa... Definately something is seriously wrong.... Thou kutongozwa once in a while ipo.... Don't you think mfano Bishanga wetu apate bahati ya kua karibu na Graca Michelle wa Madiba atataka arushe bahati yake? lol
Kuwa old unamaanisha age ipi?
 
ulkiwa na mentality ya si kila mtu lazima aolewe haitamsumbua sana.

Kila mtu anakuja kwa purpose yake, labda kuolewa haikuwa yake.
Huwezi ukapata kila kitu duniani, ndo maana wengine wana ndoa hawana watoto.

Kama anaweza agonge kopi na mtu maisha yanasonga.
AshaDii
Kwanza ngoja nikupe mfano mmoja ..Hapa kazini alikuja dada mmoja Kama Senior Manager baadhi sifa zake
1.Kwanza alikuwa mzuri sana..hata mie na-appreciate uumbaji wa mungu niliona kama sifa zote anazo
2.Pili kaenda vidato vya kutosha...
3.Masafa yake yeye leo utasikia kenda kikazi Uk,Kesho Brazil ,kesho kutwa SA..mtondogoo...Nk Nk
4.Pia kwa pesa anayo ya uhakika na ameshajijenga sana .
5.Umri nadhani alikuwa 33-36 yrs alikuwa serious sana.
Akina kaka walikuwa wanaogopa kumu- approach ..ingawa sisi kama wanawake kulikuwa na muda mnakaa nae mnajadili mambo ya kike ...Kwa mtizamo pamoja na kila kitu kuwa nacho
alikuwa so lonely ,very busy ,muda wa kujichanganya na watu mdogo..na alijua kabisa vijana wanamuogopa..
Na mpaka sasa bado yuko single.....
Je hivi hapa hawezi kutumia ile formula ya kama kampenda mtu inabidi aseme yeye badala ya kusubiri kusemeshwa?:wink2:
 
Duh Ashadii,you are genius.Lakini wengine huwa wanapenda adventures kwenye kutongoza,especially vijana wa siku hizi wanaopenda dezo ya kulelewa kwa hiyo vigezo hapo juu hawataviangalia.But all in all you are right.
 
Tatizo ni kuwa siku hizi wanaume hawatongozi...! Maendeleo ya Sayansi na Tech. yameondosha dhana ya kutongozana...! Kwahiyo nadhani kuna utaratibu mwingine ambao umechukua nafasi ya kutongonzana...!

Kwa mfano nikikupa "Like" hapa JF inawezekana naelekea kukutongoza ki-cyber...!
 
Ndio nimekuita shem.... Hebu msome huyu hapa chini..... lol

BTW Hapo unajifariji?? Ule msimamo wako wa Kuendeleza utamaduni uko wapi? Au ndio ile ya Sungura hazifai hizi ni mbichi? lol
Shem kuendeleza mila hakuna cha kutongozana bana... Si unajua kutongozana kuna uhusiano na vijiaibu na kung'ata ukucha au unyasi?

Hii ya kudumisha mila inakuwa kama ifuatavyo:
ODM: Vipi Fatu, leo uko free.
Fatu: Hapana labda kesho (Hapo usisahau sijashusha tongozo)
ODM: Saa ngapi
Fatu: Mida ya jioni ukitoka job
ODM: Poa basi ntakupigia
Fatu: Sawa lakini safari hii tusiende Mwarubaini, ile gesti vitanda vinapiga kelele sana (Kumbuka sijawahi enda naye hapo, na wala huna sababu ya kumuuliza ulijuaje)
ODM: Poa tutaenda Lexus, pale pasafi sana
Fatu: Poa, usichelewe (naye haulizi nilijuaje wakati sijaenda naye pale) Afu ukaninywee tena viroba vyako unikomoe kama siku ile.

Done!

Kuna kutongoza hapo? Mila haijadumishwa?
 
AshaDii
Kwanza ngoja nikupe mfano mmoja ..Hapa kazini alikuja dada mmoja Kama Senior Manager baadhi sifa zake
1.Kwanza alikuwa mzuri sana..hata mie na-appreciate uumbaji wa mungu niliona kama sifa zote anazo
2.Pili kaenda vidato vya kutosha...
3.Masafa yake yeye leo utasikia kenda kikazi Uk,Kesho Brazil ,kesho kutwa SA..mtondogoo...Nk Nk
4.Pia kwa pesa anayo ya uhakika na ameshajijenga sana .
5.Umri nadhani alikuwa 33-36 yrs alikuwa serious sana.
Akina kaka walikuwa wanaogopa kumu- approach ..ingawa sisi kama wanawake kulikuwa na muda mnakaa nae mnajadili mambo ya kike ...Kwa mtizamo pamoja na kila kitu kuwa nacho
alikuwa so lonely ,very busy ,muda wa kujichanganya na watu mdogo..na alijua kabisa vijana wanamuogopa..
Na mpaka sasa bado yuko single.....
Je hivi hapa hawezi kutumia ile formula ya kama kampenda mtu inabidi aseme yeye badala ya kusubiri kusemeshwa?:wink2:

Hilo ndili lilikuwa wazo langu toka mwanzo,

katika maisha si lazima kila kitu kiende kwa kanuni za Newton...Wakati mwingine mambo yanagoma na inabidi uendeshe boat against the current,

Nawashauri sana wajukuu zangu ambao jua limewachwea wajaribu umbayu wayu!!

Babu DC!!
 
Kuwa old unamaanisha age ipi?

Shem late forties goin on forward... Take note derived from our community.....

ulkiwa na mentality ya si kila mtu lazima aolewe haitamsumbua sana.

Kila mtu anakuja kwa purpose yake, labda kuolewa haikuwa yake.
Huwezi ukapata kila kitu duniani, ndo maana wengine wana ndoa hawana watoto.

Kama anaweza agonge kopi na mtu maisha yanasonga.

Kongosho maisha yanasonga but it is not the same.... Hio mentality ya kusema Kuolewa ama Kuoa sio lazima it is a good one and applicable to many, ila nikizungumza kwa kuongelea jamii yetu naona kama the disadvantage ni kubwa kuliko advantage yake.... Hata hivo waweza kuta such a lady tatizo halipo tu kwa kupata wa kuoana nae... bali hata mtu wa kudate nae ni tatizo...

Mimi naamini kua everybody needs one to lean on once in a while....
 
Duh Ashadii,you are genius.Lakini wengine huwa wanapenda adventures kwenye kutongoza,especially vijana wa siku hizi wanaopenda dezo ya kulelewa kwa hiyo vigezo hapo juu hawataviangalia.But all in all you are right.

I am humbled of your acknowledgement Kikungu.... Thank U.

Vijana wa siku hizi wamerahisishiwa sana kutongoza, wanatongozana kupitia Face book, Twitter na what ever Internet related entity, Huko una copy na kupaste tu mistari! lol....
 
Tatizo ni kuwa siku hizi wanaume hawatongozi...! Maendeleo ya Sayansi na Tech. yameondosha dhana ya kutongozana...! Kwahiyo nadhani kuna utaratibu mwingine ambao umechukua nafasi ya kutongonzana...!

Kwa mfano nikikupa "Like" hapa JF inawezekana naelekea kukutongoza ki-cyber...!

Hahahahaha..... Wee Baba_E you have made my day...... Dah!

Unaanza kutongoza kwa kutoa Like? aisee you maybe right kabisa. lol
Hata hivo hio hio process ambayo mwatumia saizi still ndio kutongoza kwenyewe
sema tu kutongoza kue Evolve sasa, huna haja ya spelling it out. lol
 
Hakikisha you come back! lol

Cantalisia hii post akisoma Rejao naona itamtia tu HASIRA....lol.... Ataona kumbe ile pete mkononi bado tu watongozwa? hahaha.... Kuna wanawake hawatongozwi mdogo wangu hadi inampa homa... believe me!

Sasa hao ambao wanajitongozesha hadi kwa mwanaume yuko na ubavu wake hapo hapo ina maana kua ndio wale hawana soni kabisa, lazima watakua wanatongozwa for ndio wale ambao wamejirahisisha; na hakuna ambacho wanaume hupenda kama mwanamke alojirahisisha....
Wala rejao wangu hana noma sisy,anajua wataishia kutongoza tu ila hawana access ya utukufu coz password za huko azimiliki yeye tu lol!

Ila sasa kupitia hii jiuzi lako la ukweli nimegundua kumbe kutongozwa kwa mawanamke kunamfanya ajione kumbe jinsia tofauti inamtambua na kumkubali in some ways!
 
Shem kuendeleza mila hakuna cha kutongozana bana... Si unajua kutongozana kuna uhusiano na vijiaibu na kung'ata ukucha au unyasi?

Hii ya kudumisha mila inakuwa kama ifuatavyo:
ODM: Vipi Fatu, leo uko free.
Fatu: Hapana labda kesho (Hapo usisahau sijashusha tongozo)
ODM: Saa ngapi
Fatu: Mida ya jioni ukitoka job
ODM: Poa basi ntakupigia
Fatu: Sawa lakini safari hii tusiende Mwarubaini, ile gesti vitanda vinapiga kelele sana (Kumbuka sijawahi enda naye hapo, na wala huna sababu ya kumuuliza ulijuaje)
ODM: Poa tutaenda Lexus, pale pasafi sana
Fatu: Poa, usichelewe (naye haulizi nilijuaje wakati sijaenda naye pale) Afu ukaninywee tena viroba vyako unikomoe kama siku ile.

Done!

Kuna kutongoza hapo? Mila haijadumishwa?

Hio shem huyo Fatuma atakua tu alikua amekumezea mate toka nyuma ama uliposogelea.... Sasa ukutane na Zaina ambae in otherwise....lol

ODM: Vipi Zai, leo uko free.
Zai: Hapana shida yako nini?
ODM: Kuna swala muhimu inabidi kutafuta ufumbuzi, waweza nipatia mda?
Zai: Usijali, Mida ya sa tatu usiku hua nipo free; nipigie mda huo.
ODM: Poa basi ntakupigia
Zai: Sawa lakini hakikisha maongezi si marefu sana. Saa tatu na nusu anapiga Mzee hayupo leo.
ODM: Khaa! mbona kama sasa wanitisha... utadhani nataka kukutongoza bana!
Zai: Huh? Kumbe ulikua unania ya kunitongoza? Usipoteze mda wala voucher zako. Next time nitafute ukiwa na ya msingi.

UnDone!

BTW Hapo ni blue ndio kutongoza kwenyewe....lol... Kama nilivo mwambia Baba_E, Kutongoza kume Evolve....
 
I am humbled of your acknowledgement Kikungu.... Thank U.

Vijana wa siku hizi wamerahisishiwa sana kutongoza, wanatongozana kupitia Face book, Twitter na what ever Internet related entity, Huko una copy na kupaste tu mistari! lol....

Namshukuru sana Mungu kwamba mie ni BBC (Born before computers).....Hawa BAC (born after PC) wana matatizo sana na wanakosa mengi....may be wanapata mengi pia!!

Yaani hayo mambo ya mtandaoni, yatakuwezeshaje umwone Bibi DC anavyohangaika kukwepesha macho, kuandika kwenye udongo kwa kutumia herufi alizozigundua yeye au kutafuna kucha? Na yeye ataona wapi Babu anahangaika kuweka mambo sawa, mara kwa kuinama au kuweka mkono mufukoni??

Yaani sijui mzuka unatoka wapi katika mazingira ya PC!!!

Babu DC!!
 
AshaDii
Kwanza ngoja nikupe mfano mmoja ..Hapa kazini alikuja dada mmoja Kama Senior Manager baadhi sifa zake
1.Kwanza alikuwa mzuri sana..hata mie na-appreciate uumbaji wa mungu niliona kama sifa zote anazo
2.Pili kaenda vidato vya kutosha...
3.Masafa yake yeye leo utasikia kenda kikazi Uk,Kesho Brazil ,kesho kutwa SA..mtondogoo...Nk Nk
4.Pia kwa pesa anayo ya uhakika na ameshajijenga sana .
5.Umri nadhani alikuwa 33-36 yrs alikuwa serious sana.
Akina kaka walikuwa wanaogopa kumu- approach ..ingawa sisi kama wanawake kulikuwa na muda mnakaa nae mnajadili mambo ya kike ...Kwa mtizamo pamoja na kila kitu kuwa nacho
alikuwa so lonely ,very busy ,muda wa kujichanganya na watu mdogo..na alijua kabisa vijana wanamuogopa..
Na mpaka sasa bado yuko single.....
Je hivi hapa hawezi kutumia ile formula ya kama kampenda mtu inabidi aseme yeye badala ya kusubiri kusemeshwa?:wink2:

Huyo ameshindwa kujua umuhimu wakutenga mda wa kazi na mda wa ku socialise,Hata mimi mwanamke wa namna hiyo simtaki maana inaonyesha ni workerholic hata atakosa mda wa kuspend weekend na watoto wetu hapo baadae.

For a guy like me,I count weeekends to be a precious time to spend time with my kids and family and relatives that's if ill have one.Huyo mwanamke hata mimi asingenifaa,huyo kazi ni mbele kuliko familia na hata awe mzuri vipi ni kazi bureee tuu.
 
Hapo red ni kweli kabisa.

Lakini in case hajapata mwenza kabisa, maisha yasimame?
Kuna kuishi kwa jinsi unavyotamani iwe na kuishi kulingana na hali halisi.
Kama wa kumuoa hajatokea, maisha lazima yendelee

Nimeona dada mmoja kidogo arukwe na akili kwa kushindwas kuuishi ukweli kwamba yuko single na hana mtu wa kudate naye.
Hii ilimfanya akaparamia kijana wa mjini wa kwanza, baada ya yule kijana kuona yuko desparate akamtumia kwa shida zake, afu siku moja akamwambia wiki ijayo 'naoa'

Baada ya hapo kapata mwingine wa mjini, akamchanganya na watu kama 4, afu akamtema.

Sasa huyo dada sasa hivi ukilutana naye hadi unamkimbia, kawa kama wale maprofesa wa zamani wakisoma wanakuwa na maneno meeeeeengi hadi hujui yanatoka wapi.
Ilibidi aende kuombewa Nigeria lakini haijasaidia sana

Nie huwa namshauri, akubaliane na hali halisi kwamba jua limekuchwa na hajaolewa, afu kuanzia hapo aanze kuishi maisha yake kwa kufurahia.

Sioni haja ya kusononeka sana eti kisa hatongozwi, ikibidi atafute mmoja aseme naye.
Kongosho maisha yanasonga but it is not the same.... Hio mentality ya kusema Kuolewa ama Kuoa sio lazima it is a good one and applicable to many, ila nikizungumza kwa kuongelea jamii yetu naona kama the disadvantage ni kubwa kuliko advantage yake.... Hata hivo waweza kuta such a lady tatizo halipo tu kwa kupata wa kuoana nae... bali hata mtu wa kudate nae ni tatizo...

Mimi naamini kua everybody needs one to lean on once in a while....
 
2012-Land_Rover-Range_Rover_Evoque-10919853.jpg Kuna mwanamke huwa nakutana naye mara nyingi maeneo ya Serena anaendesha hii gari! Kiukweli hata mimi huwa namuogopa!
 
Wala rejao wangu hana noma sisy,anajua wataishia kutongoza tu ila hawana access ya utukufu coz password za huko azimiliki yeye tu lol!

Ila sasa kupitia hii jiuzi lako la ukweli nimegundua kumbe kutongozwa kwa mawanamke kunamfanya ajione kumbe jinsia tofauti inamtambua na kumkubali in some ways!

hahahaha..... "To love and feel loved" Source: Teamo.....lol

Nimeipenda hii post.... Rejao naona alete upyaaa mahari, maana ile alotoa haijatosha kabisaaaa! lol

Kutongozwa bana kua raha yake, kama shem wangu ODM alivo ongea "Kutongozwa ni sunnah" ili mradi isikithiri... too much of anything is harmful.
 
Shem kuendeleza mila hakuna cha kutongozana bana... Si unajua kutongozana kuna uhusiano na vijiaibu na kung'ata ukucha au unyasi?

Hii ya kudumisha mila inakuwa kama ifuatavyo:
ODM: Vipi Fatu, leo uko free.
Fatu: Hapana labda kesho (Hapo usisahau sijashusha tongozo)
ODM: Saa ngapi
Fatu: Mida ya jioni ukitoka job
ODM: Poa basi ntakupigia
Fatu: Sawa lakini safari hii tusiende Mwarubaini, ile gesti vitanda vinapiga kelele sana (Kumbuka sijawahi enda naye hapo, na wala huna sababu ya kumuuliza ulijuaje)
ODM: Poa tutaenda Lexus, pale pasafi sana
Fatu: Poa, usichelewe (naye haulizi nilijuaje wakati sijaenda naye pale) Afu ukaninywee tena viroba vyako unikomoe kama siku ile.

Done!

Kuna kutongoza hapo? Mila haijadumishwa?

Cinq sur cinq..................

My take kwa topic;

1. Wanaume wengi (haswa vijana) siku hizi ari ya maisha iko juu sana wajemeni so wadada wenye hizo character ainishwa hapo juu kwa kweli watakuwa wameliwa as life inachukua time and ol that it takes to lead a good life....then ukajitwishe na mdada kama huyu aloletwa na AD kweli hapo utakuwa unatafuta mkwamo maana wa aina hiyo ndo wale walolelewa kama mboni za jicho na life ya sasa wanawake majembe (wise na hardworkers) ndo chaguo la kwanza.......nani anataka pambo lisilo na msaada (hata tie za maua mengi pia hatuvai siku hizi itakuwa urembo na mapozi????????)

2. Low profile attitude ndo silaha kubwa ya ku win relationships, hata kama wewe ni successful na rich ukiweza ku swing with a low tone utaweza kupata access ya watu wa kila aina and hence unakuwa na sample size kuuuuubwaaaa.I believe mtu mwenye mafanikio hajifichi bana so you need not to potray.....just be simple halafu mtu akija kujua your real measure wakati mshazoeana ndo inakuwa poa sana.

3. Wadada mbadilike tu jamani enzi za ku-boast zishaenda na maji hasa walobarikiwa mafanikio n yet wako single mjaribu kutenganisha success na human dignity as utakuta mtu anatembea na salio lake la bank kichwani, aina ya gari anayotumia, cheo chake.....na hivyo ndo hadidu yake ya rejea na kusahau kuwa hayo sisi WANAUME kwetu si deal bana labda kwa WAVULANA ndo wanababaika na siku hizi hatusifiani kuwa na mwanamke mzuri saanaa as a permanent partner (cute n sexy)...............

NB; Hata wanaume wenye sifa kama hizo nao pia ni ngumu kwao kupata wanawake na huishia kupata partners lukuki na mwisho wa siku kuwa na watoto kila mmoja na mama yake

AD hivi ni kweli hawatongozwi hawa au kwa kusema hivi wanamaanisha hawapati wanaume permanent and reliable?????? Maana si kweli kwamba hawana relations kabisa hawa.....................wengi ni victims wa corporate love and lifestyle wamegundua hailipi na wanatamani real love life na unfortunately sasa umri ni saa tisa na robo

Naomba kuwasilisha hoja
 
Back
Top Bottom