Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

AshaDii
Kwanza ngoja nikupe mfano mmoja ..Hapa kazini alikuja dada mmoja Kama Senior Manager baadhi sifa zake
1.Kwanza alikuwa mzuri sana..hata mie na-appreciate uumbaji wa mungu niliona kama sifa zote anazo
2.Pili kaenda vidato vya kutosha...
3.Masafa yake yeye leo utasikia kenda kikazi Uk,Kesho Brazil ,kesho kutwa SA..mtondogoo...Nk Nk
4.Pia kwa pesa anayo ya uhakika na ameshajijenga sana .
5.Umri nadhani alikuwa 33-36 yrs alikuwa serious sana.
Akina kaka walikuwa wanaogopa kumu- approach ..ingawa sisi kama wanawake kulikuwa na muda mnakaa nae mnajadili mambo ya kike ...Kwa mtizamo pamoja na kila kitu kuwa nacho
alikuwa so lonely ,very busy ,muda wa kujichanganya na watu mdogo..na alijua kabisa vijana wanamuogopa..
Na mpaka sasa bado yuko single.....
Je hivi hapa hawezi kutumia ile formula ya kama kampenda mtu inabidi aseme yeye badala ya kusubiri kusemeshwa?:wink2:

Nipe contacts zake fastaaaa
OTIS
 
nitupie link ya jina lake la FB kwenye pm yangu
 
Mie wala hawa hawanisumbuagi coz najuaga wanahangaika tu,hasa hasa kwa rejao wataishia kumwangalia kwa macho mwenyewe keshasema anawaogopa!!!
Isitoshe password za kule mahala rejao alishanimilikisha kitambo lol!
Yaani ma dia Canta umeniziba masikio na mdomo kabisa....sisikii wala siwezi kusema chochote kabisa!
nafikiri AshaDii anafahamu kale katabia changu, na alikuwa ananipigia nacho kelele sana! But toka nimetua kwako, nimekuwa mpolee, zezeta, domo zege! Hata kelele za Kongonsho na Smile siziskii kabisa!
 
Wewe kwa wiki unatongozwa na wanaume wangapi wapya?
Sijawahi wahesabu coz huwa sitilii maanani zaidi nikishajibu kuwa niko commited kwa mtu wangu basi napotezea na kuendelea na ishu zangu!!
Ww hua unatongoza wa ngapi kwa wiki!!!
 
Sidhani kama kutongozwa ni fahari kwa mwanamke mwenye heshima zake na anayejiamini. Nifahamuvyo mimi kama mwanaume, ili nifikirie kukutongoza maana yake nimekutamani na nimeona uwezekano wa kukupata upo. Kwa maana nyingine umejivika sura ya urahisi kiasi watu wanakuona easy prey na kukuaproach.

Nataka nikuhakikishieni wadada kuwa ni dharau tu ndio humfanya mwanaume akamtongoza mke wa mtu. Lkn cha kushangaza mwanamke mwenye kutongozwa hujiona amebahatika sana bila kujali tafsiri ya kinachoendelea. Mwanamke mwenye kujiheshimu na muaminifu kamwe hajijengei mazingira ya kutongozwa. Kwa kifupi hajiviki sura ya ugawaji na hivyo hata wanaume huliona hilo na kwa hiyo hawajisumbui naye.

Na labda nikudokeze jambo kuhusu mambo ambayo yanawaweka bize. Kwa mfn; wanaume wengi hukatia shingo na kushangilia anapopita mwanamke mwenye makalio makubwa at the same time ni wanaume wachache sana huoa wanawake wa namna hiyo. Hapa utaona kuwa vitu vingi hushabikiwa nje lkn ndani ya mtu havina thamani kwa hiyo sidhani kama wanaokutongoza kila kona ya mji huwa wana nia na wewe zaidi ya ku-hunt easy craps for funny. Are you funny item?

Sio easy prey, labda kutongozwa hakujafafanuliwa vyema, mi nadhani kutongozwa haswa ni pale mwanaume anapoenda out of his way kuonesha jinsi anavyoku admire and that my friend is something else, just knowing haiba yako inawavutia watu inakufanya mtu mzuri zaidi unlike kama watu wasipokufata inakufanya mtu mbaya, aidha una dharau, roho mbaya hucheki na watu na mengine yaliyoainishwa na wengine. Ukiwa approachable mtu anaweza kuwa na shida ingine kama kuelekezwa mahala lakini akawa drawn into u kutokana na mvuto wako na akajaribu kukueleza kwa hali ya heshima lakini wengine hawapati hata nafasi ya kusemeshwa hata kwa mazungumzo ya kawaida ambayo yanaweza ku lead into mahusiano kwa nia njema.
 
Yaani ma dia Canta umeniziba masikio na mdomo kabisa....sisikii wala siwezi kusema chochote kabisa!
nafikiri AshaDii anafahamu kale katabia changu, na alikuwa ananipigia nacho kelele sana! But toka nimetua kwako, nimekuwa mpolee, zezeta, domo zege! Hata kelele za Kongonsho na Smile siziskii kabisa!
Heheheeheee!
That is my dear swty hubby,nimekushika ukashikamana tulia ule vitamu visivoisha hamu lol!

Kuna mahali nimeona kongosho kakutupia kitu km tongozo ila nilijua utamjibu soon lol!
Asante darling wangu,watakula kwa macho tu km wanaonitongoza mie wakati password unayo ww!!
 
Hivi Rejao, kumbe unaniogopa??
Ndo maana ukahamia kwa Canta sababu kafulia?
Mbona ningekuachia hiyo gari jamani.
Sorry kwa kuchakachua ADI, macho ya rejao hunitia upofu.
Kongosho,
Range Rover Evoque ya 2012 kuwa nayo tena hapa bongo si mchezo! najiuliza, hiyo hela ya kununulia umepata wapi? umehongwa na nani? maana nafahamu babu Asprin ni mkulima tu na kwa sasa kinachomuweka mjini ni Pensheni, hana uwezo wa kununua hiyo gari! Na mshahara wako wa ualimu sidhahi kama unatosha hata kununua baiskeli!! Au unamshikadau mwingine tena hapa??
Canta nimejipiga piga sana nimemnunulia kavitz...hay
 
Unajisikiaje usipo tongozwa mwezi mzima?
Wala haitanisumbua kwan aliyetakiwa kunitongoza na nikatongozeka tayari yupo kwa ajili yangu,
Nishawekwa ndani na papa Rejao so itakua imenipunguzia usumbufu wa kujieleza kila wakati kuwa ni mke wa mtu!!!
 
Kongosho,
Range Rover Evoque ya 2012 kuwa nayo tena hapa bongo si mchezo! najiuliza, hiyo hela ya kununulia umepata wapi? umehongwa na nani? maana nafahamu babu Asprin ni mkulima tu na kwa sasa kinachomuweka mjini ni Pensheni, hana uwezo wa kununua hiyo gari! Na mshahara wako wa ualimu sidhahi kama unatosha hata kununua baiskeli!! Au unamshikadau mwingine tena hapa??
Canta nimejipiga piga sana nimemnunulia kavitz...hay

Mafisadi wa CCM watakuwa wamehonga wewe hujui? Mbona kuna vibinti vingi mitaani huku vinahongwa magari ya kifahari wao wanaita babu au mzee ameniwezesha ndo hao hao mafisadi
 
Hio shem huyo Fatuma atakua tu alikua amekumezea mate toka nyuma ama uliposogelea.... Sasa ukutane na Zaina ambae in otherwise....lol

ODM: Vipi Zai, leo uko free.
Zai: Hapana shida yako nini?
ODM: Kuna swala muhimu inabidi kutafuta ufumbuzi, waweza nipatia mda?
Zai: Usijali, Mida ya sa tatu usiku hua nipo free; nipigie mda huo.
ODM: Poa basi ntakupigia
Zai: Sawa lakini hakikisha maongezi si marefu sana. Saa tatu na nusu anapiga Mzee hayupo leo.
ODM: Khaa! mbona kama sasa wanitisha... utadhani nataka kukutongoza bana!
Zai: Huh? Kumbe ulikua unania ya kunitongoza? Usipoteze mda wala voucher zako. Next time nitafute ukiwa na ya msingi.

UnDone!

BTW Hapo ni blue ndio kutongoza kwenyewe....lol... Kama nilivo mwambia Baba_E, Kutongoza kume Evolve....
Shem bana....

Yaani ukishajibiwa kama hapo bold, kwa sisi wazoefu tayari tushaachana naye..... khaa!
 
Olesa nimepena post yako na insight umetoa.... It really is intense THANK YOU.

Unadhani I am kidding kua kuna wanawake hawatongozwi? lol Hio ya kupata Mwanaume permanent na reliable it is another issue kabisa. Hio ipo na kwa wanaume pia..... Na wapo na they don't have relations, thou sio wengi saana.... ndio maana ni ngumu kuamini.

Kuna rafiki yangu amewahi kuniambia mapenzi ni sanaa (art) kama sanaa nyingine ingawa hii hufanywa na watu wengi zaidi. Sasa kwa hawa wasotongozwa/ -tongozeka AD my sis it is their very own duty to learn the theories na kuchagua paradigm ya kufanyia kazi and be cautious upon entering the volatile practical ground
 
Pale kwenye umri sina hakika, I find women older than me attractive!

Wanakuwa wametulia kiakili zaidi na wanajua nini wanataka kuliko watoto wa shule kwa kiasi kikubwa. I agree with you!
 
AD,
Kumbe msipotongozwa nalo ni tatizo hata kama mnajua jibu litakuwa yes or no depending on many different issues?
 
Back
Top Bottom