MwanaHalisi larudi kivingine kuanzia leo J3

hapana nasikia ni mkono wa kubenea, tumemiss detective jounalism ambayo kubenea huifanya bila woga.

sasa haya magazeti mengine ni mzigo kwa wasomaji , ukiacha Raia Mwema linalojaribu jaribu.

usithubutu kulitafuta ni la magamba, na mbaya zaidi wameiga mwonekano wa gazeti la mwananchi!!!!!!!!
 
jamani sasa inabidi tuwe makini juu ya ujio wa magazeti watakayowapa muonekano wa magazeti yetu pendwa tunayoyaamini,

maana sasa kambi kinzani zitakuja na msururu wa magazeti kuelekea 2015 na kutuvuruga kabisa hata tsijue nani ni nani?
 
Kiongozi shupavu hawezi kutumia mabavu kuongoza, ni kiongozi dhaifu tu ndio atatumia mabavu kuficha udhaifu wake - Jenerali Ulimwengu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom