MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,090
- 22,368
Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya chama chao kwenye kumpata mgombea. Wakiwa wazima 2025 wafuatao watakuwa wagombea ubunge kupitia CHADEMA kwenye majimbo yao;
1. John Mrema - SEGEREA
2. Boniface Jacob - UBUNGO
3. Freeman Mbowe au mwanae James Mbowe - HAI
4. Lucy Ndesamburo - MOSHI VIJIJINI
5. Henry Kilewo - MWANGA
6. John Pumbulu - NYAMAGANA
7. John Heche - TARIME VIJIJINI
8. Ezekia Wenje - RORYA
9. Patrick Sosopi - ISIMANI
10. Peter Msigwa - IRINGA MJINI
11. Godbless Lema - ARUSHA MJINI
12. Joseph Mbilinyi - MBEYA MJINI
Kama isingekuwa Covid19 kukwaruzana na chama chao hiyo list ingekuwa na majina mengi zaidi. Ninashauri wanaCHADEMA wenye kuutaka ubunge kutafuta hiyo fursa kupitia vyama vingine au kuomba nafasi ya kugombea kwenye majimbo mengine ambayo hayajatekwa na vigogo wasiopenda demokrasia. Waende Ruangwa, Iramba, Ilala, Kilwa, Tunduru.