Kumekucha: CHADEMA yawataka Wote wanaotaka kugombea Serikali za Mitaa 2024 au Uchaguzi mkuu 2025 wawaone Viongozi na kutia Nia sasa!

Lissu anasemaje kuhusu hili?

Wakati yeye akiwa busy na bandari zetu, wenzake wako busy na serikali za mitaa 2024, na ucahguzi mkuu 2025..

Chama kimoja, mawazo na mienendo mbalimbali, habari ya Katiba Mpya inawezekana sasa hata hao kina Mrema na wenzake wameona inawapotezea muda tu, haya maisha ni mkono uende kinywani.
 
Sugu yuko busy kuomba jimbo ligawanywe hajui jimbo jipya ni la Mtume Mwamposa 😀😀
 
Hapo nimekubaliana nao kabisa maana kugomea chaguzi kunaifaidisha CCM na ACT zaidi.

CCM ni kupambana nao hivyo hivyo
 
Duuu bado cdm wanaongelea kushiriki chaguzi kwenye mazingira haya haya bila katiba kubadilika,ama tume huru ya uchaguzi? Wanaamini bado watu wanaojitambua wataendelea kushiriki kwenye hizi chaguzi za kuhayawani? Waachane na hilo suala kwanza maana kutakuwa na wapiga kura wachache sana, kibaya zaidi wapiga kura wa upinzani ndio wamedharau hilo zoezi la kipuuzi liitwalo uchaguzi.
 
Kwani akina mbowe na Sugu walipata ubunge kwa katiba ipi?
 
Ukisusa Wenzako wala!
 
Kwani akina mbowe na Sugu walipata ubunge kwa katiba ipi?
Nasema hivi, hakuna uchaguzi Tanzania, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Watu wajinga tu ndio wataendelea kushiriki kwenye chaguzi hizi za kipuuzi.
 
Back
Top Bottom