kalokolaVIII
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 396
- 183
The problem ni unataka kujionyesha kwamba wewe ni smart halafu on the proccess unajivua nguo.
I don't consider myself to be smart - shida ya baadhi ya wachangiaji humu ndani ni kufikiri kwamba wao ni watanzania kuliko watanzania wengine na wana uchungu na nchi kuliko watu wengine and by the time you contest their version in any debate basi wanaanza kukuita mjinga au unajionyesha au unajifanya smart Let's discuss issues not people!!! Mimi sina tabia ya kuongelea watu na wala sitaingia ktk mtego wako na kuanza kuku-discuss by the way we do not know each other so let's stick on issues tuache kuzungumzia tetesi. Kama habari is all about a field which is not of your competence then you're not obbliged to send us what I call seasoned air - you can even read just like most people do!
Being said that,I'm closing a debate with you and if you want to go on with your personal attacks go ahead Sir and enjoy yourself!!!