Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

Jason Bourne where are my firend?Umesema ni 4 hrs utatupatia majibu kuhusiana na uchunguzi wako.We're still waiting mkuu kabla hatuja log out.
 
nape anamsindikiza ili aonekane hajui kinachoendelea.
Nape ni bomu jingine ndani ya ccm.
Mwakyembe yupo india

Mwandosya yupo india,

Nani anafwata. . . . . . .?
 
Serikali si ndio imempeleka India, tumeona viongozi wengi tu wamemsindikiza pamoja na Magufuli
 
Siyo kwamba Nnape kama kiongozi wa CCM amemsindikiza kada wa Chama chake?
 
nape atakuwa anajua sumu waliomlisha mwakyembe naomba nape utujuze mmemlisha sumu gani na nani anafata na mmepanga kuua wa ngapi mpaka 2015 maana lowasa nae nasikia alipooza upande mmoja akapelekwa kwenye maombi..ni vita ya magogoni tu au kuna mengine kama kawaida..
 
kalokola huijui nchi hii na huijui kabisa......ni heri ukaaa kimya kuliko kuandika uongo hapa......we subiri matokea tu....huo ugonjwa unaousema huwa hauji kwa satli ya ulivyokuja kwa mwakyembe......
 
Ukiona hivyo tambua kwamba chama kinaelekea kuvunjika.Muda c mrefu 2taona
CCM Simba na CCM Yanga..na hapo nguvu ya CCM-
MAFISADI itakavyoisha afu Wapinzan watachukua
nchi kiulaiiiini huku MAGAMBA yakigongana
yenyewe kwa yenyewe....waache wagombane
wanaMAGAMBA huenda maisha ya waTZ yatakua bora...pale CDM 2takapoikabdhi serkali hii.
 
Mwakyembe tunamhitaji,ana habari zote kuhusu kampuni hewa ya richmond na baadaye dowans,atatusaidikia kuandamana kupinga malipo ya dowans
 
nape atakuwa anajua sumu waliomlisha mwakyembe naomba nape utujuze mmemlisha sumu gani na nani anafata na mmepanga kuua wa ngapi mpaka 2015 maana lowasa nae nasikia alipooza upande mmoja akapelekwa kwenye maombi..ni vita ya magogoni tu au kuna mengine kama kawaida..

Kama vita ndiyo hiyo mbona watamalizana na watakosa mgombea?
 
Mungu aponye Mwakyembe na waombaji wote na wote wenye mapenzi mema na Mwakyembe embu tuache maswali tuingie kwenye maombi tumlilie Mungu amponye Mwakyembe Mungu anaweza kuliko hata ma doctor nao wameumbwa tuungane tumwombee uponyaji Mwakyembe.
 
kalokola huijui nchi hii na huijui kabisa......ni heri ukaaa kimya kuliko kuandika uongo hapa......we subiri matokea tu....huo ugonjwa unaousema huwa hauji kwa satli ya ulivyokuja kwa mwakyembe......
Edson,hiyo signature yako inatokana na ile kauli ya Kiranga?
 
nape anamsindikiza ili aonekane hajui kinachoendelea.
Nape ni bomu jingine ndani ya ccm.
Mwakyembe yupo india

Mwandosya yupo india,

Nani anafwata. . . . . . .?

nasikia lowasa walikuwa wanataka kumvua magamba kwa guvu, taarifa za watu wa karibu na el wanadai alianza kuanguka na baadae akawa amepoo upande mmoja akafikia kutembea kutumia fimbo akapelekwa nijeria kwenye maombi kazi ipo mpaka kufika 2015
 
nape anamsindikiza ili aonekane hajui kinachoendelea.
Nape ni bomu jingine ndani ya ccm.
Mwakyembe yupo india

Mwandosya yupo india,

Nani anafwata. . . . . . .?

.... nahisi atakuwa 6!!!!
 
Back
Top Bottom