nyundo j
Member
- Jul 31, 2015
- 56
- 56
Mwakyembe alikuwa yule wa zamani kabla hajaenda kulazwa India, huyu Mwakyembe wa sasa sijui amewekewa chip ili awe anasema asichokijua, au alikuwa stable kipindi hicho kwasababu alinyimwa uwaziri na baba riz aaah! Inauma sana kama wasomi wetu watakuwa wanasahau taaluma zao kama huyu.