Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhh...vyeti vya kugushi?????? This is a very serious allegation...
PhD gani huyo aliyekwenda india kununua mabehewa chakavu? Huo usomi gani? Kule bandarini alileta ukabila akawaweka ndugu zake kibao, huo ndiyo usomi? Report ya Richmond alificha file linaloonyesha Kikwete ni Mmiliki akatengeneza uzushi kwa Lowasa huo ndiyo Usomi? Kama PhD ni kwenda Hotelini kukaa masaa 3 kumfundisha DR Slaa jinsi ya kutengeneza Sinema ya kumdhoofisha lowasa basi wengi hawatahitaji PhD maana Mwakyembe anaidhalilisha.
 
Mmmmmmmmmmmmmmmmh..how are you sure amefanya yote haya??????
 
Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!

Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema!

mwakyembe ni sawa na mbwa mwoga, anaogopa kwa kuwa amezidiwa kete na sugu,

Sijapenda alivyo mwita mbunge sugu ati ni maono haya yameletwa na msanii bafala ya mbunge wa mbeya.

Anaonekana ana hasira sana na sugu anavyo mazidi kete pale bungeni

Ujinga mkubwa kabisa huo mwakyembe, unatuabisha wasomo.
 
Ila wabunge wengi wa cdm elimu yao imejaa ukakasi tukianzia na Kiongozi wa Upinzani na Mkiti wa cdm..ndio maana kunakosekana dira wanakuwa watu wa siasa za matukio ya msimu
Dira za ccm ni Kinana je? ana PhD? akina Ole sendeka ni Wasomi? Mkuu wa kitengo cha Uchakachuaji na kamati za Ufundi cha ccm ni January makamba ambaye form six alipata Div zero hata Nape ni Div 4 kama Jesca lakini ndiyo tegemeo la ccm kwenye kudhoofisha Upinzani, wanaojiita wasomi wa ccm wote akina, Chenge, Tibaijuka, werema, Maswi, ngereja, Kapuya, na wenzao wamelifanyia nini Taifa?
 
Ila wabunge wengi wa cdm elimu yao imejaa ukakasi tukianzia na Kiongozi wa Upinzani na Mkiti wa cdm..ndio maana kunakosekana dira wanakuwa watu wa siasa za matukio ya msimu

Wewe kwa akili yako na kwa akili ya wasomi wa kiafrika ni Wasomi wangapi majasiri wanaoweza Kujiunga na upinzani ili wapigwe mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha?

Ndio maana hata wakati wa kudai uhuru Mwalimu Nyerere aliwafuata waislam wa Pwani waliokua na elimu ya madrasa na busara kubwa na kuungana nao baada ya kuona wasomi na wakristo wa bara walikosa ujasiri kwa kuhofia nafasi zao kwenye serikali ya mkoloni.

Wasomi aina ya Mwakyembe hawajawahi kuleta mabadiliko chanya kwenye nchi za kiafrika.
 
Akili za watu wa chama cha kijani huwa hazipishani sana, bila kujali mtu ana Ph.D au darasa la saba. Wote wanafikiri na kutenda hivyo hivyo ndiyo maana wameongoza miaka zaidi ya 50 na tunazidi kudidimia katika umaskini.
 
Wewe kwa akili yako na kwa akili ya wasomi wa kiafrika ni Wasomi wangapi majasiri wanaoweza Kujiunga na upinzani ili wapigwe mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha?

Ndio maana hata wakati wa kudai uhuru Mwalimu Nyerere aliwafuata waislam wa Pwani waliokua na elimu ya madrasa na busara kubwa na kuungana nao baada ya kuona wasomi na wakristo wa bara walikosa ujasiri kwa kuhofia nafasi zao kwenye serikali ya mkoloni.

Wasomi aina ya Mwakyembe hawajawahi kuleta mabadiliko chanya kwenye nchi za kiafrika.
mkuu akina kawawa, Karume,jumbe, na wenzao wengi hawakuwa na PhD , huyo Mwakyembe si Msomi inabidi achunguzwe Vizuri inaelekea alisoma kwa mbinu za ujanja ujanja tu hana Taaluma kichwani zaidi ya kusoma English tu.
 
kwan elim ndo nn hata akiishia la nne ila akiwa anadai maslahi ya wananch anakubalika tu kuliko hata professor
 
Watu wanamchagua Sugu kwa sababu ya Hip Hop na siyo kwa sababu ya uwezo wake, hiyo ni kawaida Dunia nzima hasa vijana ndiyo maana utaona leo hii Wema Sepetu akiamua kugombea Uraisi atapata kura nyingi anaweza kushinda lkn haimaanishi kwamba ana uwezo wa kuongoza ni kwamba tu sehemu kubwa ya binadamu wa Dunia hii ni simple minds na hao ndiyo wapigaji kura, na ndyo maana Dunia inaongozwa akina Kim Kardashian, George Clooney &Co. mamovie stars, wanamuziki n.k hata Profesa J hajashinda kwa sababu nyingine yoyote ile isipokuwa Hip hop!
Mbona hakushinda ubunge UVCCM, au kule kulikuwa na mbongo movie mwenzake?
 
Back
Top Bottom