Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!

Kwa kweli hawa Wabunge wa CHADEMA sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa CHADEMA!


Mwakyembe lini aliwahi kuwa useful? Hajui uhusiano wa shule ya darasani na uelewa. Kama una mawasiliano naye hebu muulize Steve Job aliishia darsa la ngapi? Muulize Bill gates aliishia darasa la ngapi na mwisho muulize yeye mwenyewe mwenye PhD pale UD alifundisha miaka mingapi na kwa nini aliondoka bila kuwa profesa.
 
Back
Top Bottom